Binafsi nimecomment kulingana na situation ya mleta mada maana ishu ya ndoa ukianza kuandika hapatatosha lakini niliona nicomment kulingana na huyo mwanamke alichomfanyia mshkaji na kuacha Hadi mtoto hii sio sawa kabisa aisee.
Wengi tunapitia hizi Hali na ukikaa na wanaume wengi utajua Wana matatizo makubwa Ila huwa tumeumbwa kunyamaza na wanawake wanatumia hii fursa kufanya unyama wao.
Wapo wanaume wanakosea wake zao hii ipo tu, wako pia wenye sababu zao mfano mtu Kama huyu mleta mada hata mwanamke akimrudia just in case kwamba walee mtoto huyo mwanamke akilalamika bado mwanaume atalaumiwa tu Ila huwa tunanyamaza tu.
Ukweli ni kwamba, mtoto wa kiume hana pa kusema matatizo yake ndio maana huwa tuna maamuzi yetu mtu unamlisha , unasomesha yeye na ndugu zake na watoto, unahangaika kujenga nyumba , unamnunulia na gari lakini anakuwa hawezi kushukuru hata kidogo.
Mwisho wa siku unaenda unakokuwa appreciated, Kuna mademu ukimpa laki mbili anakutunza na anakuheshimu mno, ukimlipia vyumba viwili na sebule anamuona Kama wewe ni mwokozi wake Ila unakaa na mshenzi hajui hata kusema mume wangu Asante kwa kututunza japo ni wajibu Ila just show appreciation.
Sasa ukose hela ananuna badala ya kuwa comfort, hata TV ukishika remote anaanza kulalamika tu tunaangalia tamthilia, hivi mwanaume gani atakaa na hiyo umbwa?
Ukifanikiwa kuachana na wanamke wa hivyo kabla hujamuua shukuru Mungu hata kama unalala njaa.
Ni kumuomba Mungu atuepushe na namna yoyote ya kufeli,ipo shida kubwa sana mwanaume unapokuwa huna hata pesa kidogo mfukoni kwa ajili ya kulisha tumbo lako.haya ya mahusiano kila mtu ana namna atazungumzia kitabu chake but the issue ni unaishi nyumba za watu hela ya kula huna kodi itakuwaje?ni huzuni anayeweza kumsaidia jamaa amsaidie kwa chochote.It's obvious mwanaume ukiwa kwenye financial crisis na ikatokea unaishi na mwanamke mpumbavu atakufrustrate mpaka hautaweza kufikiria namna ya kujikwamua.
Hawa watu tunaishi nao Ila wanatuua mapema sana na hawana huruma hata punje. Huwezi kumsikia mke anasema namuonea huruma huyu baba anafanya kazi anatulisha na kusomeshwa watoto mostly atatafuta mgombane tu ataamua tu kukupa stress.
Ndio maana wengine tunaamua kujinywea whisky ukifika wamelala unalala zako kwa amani otherwise utajikuta una stress za maisha.
Kumbe na wewe umwliona hilo...hawa hawafai wanatukandiaga sie wanaume oh nyie tamaa ya mbususu kumbe wao ndio tamaaa kweli kweli hawana utu hawa...ni mwendo wa kusasambua mbususu na kusepaWanawake ni washenzi sana atakupanulia ukiwa na hela Ila ukiishiwa ujue kwaheri anaenda kupanua we kwingine mtu ambaye unategemea atakupa support ili uvuke kwenye hiyo hali anakutupa kweupe kabisa.
Yani amediriki hadi kuacha mtoto mchanga aliyemzaa aisee dah. Komaa na life mambo hubadilika huyo mwanaharamu tu hao hawanaga shukrani ni Kama mdhuti hata uoshe vipi utanuka tu.
Tunza mwanao Mungu atakubatiki.
Hata mama mzazi si wote, kuna wengine hakuna kitu kama hicho sema ni moyo wa mtuNilichogundua mama mzazi ndio mtu pekee anayeweza pita na wewe kwenye hali zote ziwe za raha au shida. Hawa wanawake wengine hakuna kitu ..ukiwa na shida utapambana peke yako ukizipata hela atakuja mtakula wote teeena atajioendekeza kweli...hata baba yuko likely kukukazia ukiwa na shida kubwa ila Mama dahh atapambana na wewe hadi usimame. RIP mama yangu
Nimemuelewa sana!Umeambiwa uweke namba. Edit uzi wako uongezee namba ya simu na jina litakuja nani usaidiwe na watakaoguswa
Boss pm tafadhaliMtu akinitumia elf moja na mia tano naweza kutoa elfu moja ikanisaidia
Umeona eee anamnyanyasa mwanamke mpaka ,sasa huyo mwanamke siku ajitoe baada ya Mme kufulia utasikia wanawake sio watu, kuna 1 alikuwa anamjibu nikupe wewe pesa ili usaidie kwenu sijaoa ukoo hata kama ni mahitaji mie natuma kwetu, siku kafulia eti anambembeleza mkewe, na ndiye wanapambana naye mpaka sasa hali ngumu haswa.Kuna wanaume wengine wapo kwenye mahusiano na mwanamke .. hali mbaya.. akianza kupata mafanikio tu anamuacha mwanamke ambaye aliyekuwa anamvumilia anatafuta wanawake wengine.. MAHUSIANO ni ovyo tu kiujumla usiwalaumu WANAWAKE.. mzee na mimi ndugu yako hali mbaya nilitaka hata nisikoment huu uzi sema hii koment imenishawishi.. sina kitu mbaba..
Yanii ni moyo kweliHata mama mzazi si wote, kuna wengine hakuna kitu kama hicho sema ni moyo wa mtu
Kuna mama huwa wanawafanyia vitu watoto wao wakuwazaa mpaka unajuuliza alimzaa au kamuokota?Yanii ni moyo kweli
Umeambiwa uweke namba. Edit uzi wako uongezee namba ya simu na jina litakuja nani usaidiwe na watakaoguswa
Nimemuelewa sana!
Upo uwezekano wa kuwepo watu wanaomjua humu ndo maana tunatumia fake IDs anayetaka kumsaidia atamfata pm tu sijaona shida bado.
Kiumbe kinachoitwa mwanamke ni nyoka sana brother tuishi nao kwa akili kama ambavyo biblia imetuonya.Kumbe na wewe umwliona hilo...hawa hawafai wanatukandiaga sie wanaume oh nyie tamaa ya mbususu kumbe wao ndio tamaaa kweli kweli hawana utu hawa...ni mwendo wa kusasambua mbususu na kusepa
Aweke utaratibu mzur wakumsaidia, Simu, account n.k
Naona pm yake nayo pia haifunguki.