Naomba msaada wenu wakuu.

Naomba msaada wenu wakuu.

kaka km

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2013
Posts
1,336
Reaction score
694
Hii simu yangu ina tatizo la kupokea sms. Mtu anaweza kunitumia sms ikaonyesha delivery report lakini kwangu isiwe imefika kwa wakati huo,ikafika baada ya siku 1 au 2 hata 3.

Hasa sms za kuanzia mchana hadi usiku huwa nazipata siku inayofuata au nyingine tena,vinginevyo ikifika usiku au jioni nizime simu na kuiwasha,sms zote za mchana kutwa zinaingia.

Tatizo ni nini,simu au mtandao?natumia vodacom kazi ni kwako.
 
Sometimes network mkuu!!!! Lakini kama ni muda mrefu waone vodacom watakusaidia!!!
 
Tuambie ni aina gani ya simu, na inakuwaje unapotuma wewe zinafika kwa wakati?
 
Hii simu yangu ina tatizo la kupokea sms. Mtu anaweza kunitumia sms ikaonyesha delivery report lakini kwangu isiwe imefika kwa wakati huo,ikafika baada ya siku 1 au 2 hata 3.

Hasa sms za kuanzia mchana hadi usiku huwa nazipata siku inayofuata au nyingine tena,vinginevyo ikifika usiku au jioni nizime simu na kuiwasha,sms zote za mchana kutwa zinaingia.

Tatizo ni nini,simu au mtandao?natumia vodacom kazi ni kwako.
Habari kaka km tafadhali tunaomba utusaidie taarifa zifuatazo kwa msaada zaidi. Tuma PM tafadhali
Namba ya mtumaji, namba ya mpokeaji na aina ya simu mnazotumia. Ahsante
 
Last edited by a moderator:
Ukweli hata Mimi tatizo hili lipo ktk moja ya simu zangu aina ya Nokia Asha 200 ya line 2. Tatizo liko ktk Vodacom tu. Mwanzoni sikuwa najua kwa hiyo baada ya kufanya transaction ya MPESA sukupata msg. Nikapiga customer care ya Voda wakaniambia nizime na kuwasha. Nilivyofanya hivyo msg zikaja zote. Kwa hiyo nikihisi msg haziji upande wa Voda nafanya hivyo. Kumbe sio Mimi Tu....
 
Back
Top Bottom