Dubu, pole sana.
Natumaini sio tatizo la kisaikolojia zaidi manake sijui kama kuna conncetion... Ngoja wataalamu waje.
Mama anaponyonyesha pia hormone inayoitwa oxytocin hutolewa na hii kazi take ni kufanya uterine contractions na hicho ndicho kinampa maumivu ya tumbo, anaweza kumeza panadol Kama maumivu ni makali sana otherwise ni pain ambayo inavumilika but if severe mpeleke kwa daktari
mkuu kwanini iwe wakati wa kunyonyesha?. kama mtoto hanyonyi tumbo haliumi. halafu tumbo la mama linapo ume mtoto hua analia.
Mkuu kunyonya ni reflex arc! Mtoto anapovuta chuchu it send reflex to the brain to release prolactin and oxytocin hormones. Sucking is what triggers let down reflex. Mtot kulia can be labda hashibi, hewa kujaa tumboni hakikisha good attachment ya mtoto kwa mama ikiwa ni kumpakata vizuri mama akae kwenye kiti, mgongo straight na amshike mtoto vizuri kwa mtoto kufuata chuchu na sio mama kuinama
ok asante. so hamda dawa ya kutuliza ? Panadol ashapewa.