Naomba msaada wenu wakuu: (Press F1 to continue!)

Pape

JF-Expert Member
Dec 11, 2008
5,488
79
Habari zenu wakuu, Kila mara nikiwasha PC nakutana na haya maneno 'Press F1 to continue!'...ninawezaje kuondokana na adha hii? Napenda nikiwasha PC iwe ina-load moja kwa moja! Asante sana.
 
babu nenda kwenye bios.badilisha boot device priority,weka first boot iwe hard disk.
halafu disabled floopy.ikiwezekana ichomee kabisa waya wa power kwenye cpu
 
waweza ingia kwenye bios kwa ku press delete when mashine ikiwa inaanza
 
CBZ:

CMOS checksum error!

Kama una utaalamu kidogo wa vifaa vya eletronics : tafuta scew driver : fungua hiyo computer na

1. Angalia kama battery imekaa sawa sawa kwenye ubao mama (motherboard)

2. Angalia kama "jumper" zimekuwa SET sawa sawa

3. Kama moja na mbili hapo juu umeangalia ; jaribu battery nyingine inayofanya kazi ; yawezekana hii imepoteza uwezo wake wa kuishi

4. Waweza pia kujaribu ku-upgrade BIOS (Google it)

5. Zaidi tafuta technician atizame ubao mama wote (digital volt-ohmmeter) inaweza kukusaidi

6. e.t.c
 
Back
Top Bottom