Loudspeaker
Member
- Feb 8, 2021
- 88
- 107
Mimi ni kijana wa miaka 28, nina wadogo zangu wawili wa kike. Mmoja anasoma China medicine na huyo wa pili anasoma uchumi university of Dar es salaam. Maisha yetu yote tumelelewa na single mom; mama yetu hakujaliwa uwezo wa kutosha kifedha japo ni mpambanaji sana.
Our school life imekuwa ya shida sana, kukimbizana na walimu kwaajili ya ada. Tumesoma kwa shida mno,,mimi binafsi nimeshindwa maliza chuo kwakukosa ada mwaka 2015. Tatizo kubwa kwa sasa lipo kwa hao wadogo zangu wawili, hasa huyo aliyepo China, hali yake mbaya sana kule na hali yetu kifedha imezidi kuwa duni. Chuo kafukuzwa mpaka alipe ada, tumeshindwa ata mlipia sehemu ya kukaa, na anaumwa sana. Yupo barabarani ana tangatanga, ana ugonjwa wa seizure. Sometimes inamshika barabarani na kudondoka.
Kuna kipindi seizure ilimshika bafuni akadondokea kichwa na kupasuka; alipata amnesia for two weeks. Walahi ndo mara yangu ya kwanza kushuudia mtu kupata amnesia. Niliongea nae kwenye video call akawa anikumbuki; yupo kwenye kipindi kigumu sana wana JF. Kikubwa kinachoniumiza ni hali yake ya afya haiko stable at all, anaumwa sana. Akila chochote anatapika. Kwa siku anaweza tapika mpaka mka loose count, zaidi ya mara 20.
Kusema kweli anateseka sana. Kila nikiongea nae swala la kuacha tu chuo na kurudi, ananiambia kaka angu nikiacha chuo nitakuwa mgeni wa nani huko Tanzania? Anasoma medicine and she is very very smart; she is among the top most student kwenye chuo chao but right now yupo tu around the streets of China ana tangatanga na bimkubwa kaishiwa options. Nimejaribu kufungua go fund me ili ku address hii issue, but naona inanishinda kidogo. Naombeni mnishauri wana JF. Tufanyeje?