JIMMY JORAM
Member
- May 1, 2013
- 38
- 20
Naombeni msaada wa kimawazo; H-(E) K-(E) L-(S) na gs-F,Je nikiomba chuo nitapata(degree)
Omba Open utapata. Wana utaratibu mzuri wa kukuendeleza. Kama wataona hizo hazitoshi watakuanzishia Foundation course. Ukipita hiyo unaanza degree kama kawa. Bidii yako tu.Naombeni msaada wa kimawazo; H-(E) K-(E) L-(S) na gs-F,Je nikiomba chuo nitapata(degree)