J James St. Patrick Senior Member Joined Jun 23, 2011 Posts 172 Reaction score 72 Jan 31, 2014 #1 Naombeni msaada wenu, naomba kufaham sifa za msichana wa kigogo na kipare.
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,632 Jan 31, 2014 #2 Duh we jamaa Unaoa wote wawili kwa mkupuo?? Au umewaweka stand by ili kusubiri utajiwe tabia zao/?? Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
Duh we jamaa Unaoa wote wawili kwa mkupuo?? Au umewaweka stand by ili kusubiri utajiwe tabia zao/?? Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
kijani11 JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 8,415 Reaction score 9,303 Jan 31, 2014 #3 hivi haya mambo ya tabia kikabila bado yapo?
Himidini JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 5,534 Reaction score 4,193 Feb 1, 2014 #4 ^^ Wote ni wanawake Wote wameumbwa Wote hawakuchagua kuzaliwa walipozaliwa, ilitokea tu Wote hawalingani Wote wana upendo na huchukia kama binadamu wengine. ^^
^^ Wote ni wanawake Wote wameumbwa Wote hawakuchagua kuzaliwa walipozaliwa, ilitokea tu Wote hawalingani Wote wana upendo na huchukia kama binadamu wengine. ^^
C cj21125 JF-Expert Member Joined May 12, 2013 Posts 3,593 Reaction score 3,551 Feb 1, 2014 #5 lulenganija603 said: Naombeni msaada wenu, naomba kufaham sifa za msichana wa kigogo na kipare. Click to expand... Unataka kufahamu sifa zao ili iweje? Unataka house girl au? Funguka bhana acha longolongo.
lulenganija603 said: Naombeni msaada wenu, naomba kufaham sifa za msichana wa kigogo na kipare. Click to expand... Unataka kufahamu sifa zao ili iweje? Unataka house girl au? Funguka bhana acha longolongo.
TANMO Platinum Member Joined Apr 12, 2008 Posts 12,214 Reaction score 13,058 Feb 1, 2014 #6 hakuna msichana wa kigogo na kipare..