Naomba msaada wenu tafadhali!

James St. Patrick

Senior Member
Jun 23, 2011
162
62
naomben msaada wenu ndugu, kuna app niki-instal inakubali ila nikitaka ku-open inakua "system error". Simu yangu ni nokia 5320 xm, kama kuna link yeyote nidondosheen hapa chini!
 
pole mkuu!!! umesha i hack? ni software gani hio?!! labda tuanzie hapo sababu system error ina sababishwa na mengi kwenye symbian yako
 
pole mkuu!!! umesha i hack? ni software gani hio?!! labda tuanzie hapo sababu system error ina sababishwa na mengi kwenye symbian yako
<br />
<br />
bado sijaihack kwani nilitumia kila mbinu nilishindwa! Application yenyewe inaitwa ttpod hii nia music player!
 
achana na simu zinazotumia os za zamani hivyo...chukua android os au i os zipo juu zaidi.
matatizo kama hayo ni very rare.
 
there are hunderds of hacking tutorial ctaki amini kama umeshindwa, nywy go to a forum moja ipo PRODIGITS.CO.UK, AU kama jamaa alivyo sema hapo juu get ur self ANDROID
 
naomben msaada wenu ndugu, kuna app niki-instal inakubali ila nikitaka ku-open inakua &quot;system error&quot;. Simu yangu ni nokia 5320 xm, kama kuna link yeyote nidondosheen hapa chini!
<br />
<br />
Mkuu kwani hiyo app. una-install kutoka media gani, kama ni kutoka Internet basi wakati mwingine unapodownload kunaweza kutokea some gritches kwenye network ukajikuta program iliskip some code matokeo yake inashindwa ku-run baada ya kuwa installed, hivyo nakushauri utumie bittorrent au download manager kufanikisha error free download. Tatizo lingine inawezekana OS ya simu yako haiko compatible na app yako.
 
Back
Top Bottom