Mesja Member Joined May 8, 2022 Posts 10 Reaction score 17 May 9, 2022 #1 Je naweza nikatoka nje ya nchi yangu,nikawa natumia namba yangu ya simu nayotumia au natakiwa kubadilisha mtandao
Je naweza nikatoka nje ya nchi yangu,nikawa natumia namba yangu ya simu nayotumia au natakiwa kubadilisha mtandao
Nafaka JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 12,157 Reaction score 31,334 May 9, 2022 #2 Mesja said: Je naweza nikatoka nje ya nchi yangu,nikawa natumia namba yangu ya simu nayotumia au natakiwa kubadilisha mtandao Click to expand... Unatumia via roaming mkuu sema wanakula pesa balaa
Mesja said: Je naweza nikatoka nje ya nchi yangu,nikawa natumia namba yangu ya simu nayotumia au natakiwa kubadilisha mtandao Click to expand... Unatumia via roaming mkuu sema wanakula pesa balaa
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 165,751 Reaction score 184,601 May 10, 2022 #3 Unaweza...