Ni vizuri ujue au utaje kitabu gani au mwadishi gani unatafuta vitabu vyake. Hii internet hakosi kitu na vingine ni takataka......
ukishajua au kutaja jina la mwadishi wa kitabu itakuwa rahisi kukipata kwenye file sharing sites. kama mediafire. esnisps na hata kwenye torrent sites mbali mbali