Naomba Msaada Wenu Jamani

Naomba Msaada Wenu Jamani

SuperImpressor

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
1,505
Reaction score
649
Mwenye dashboard original ambayo haijachakachuliwa (untouchable) ya Huawei Hilink e303 ya Vodacom anisaidie.
 
Du! Kumedorora. Ina maana hakuna mtu anaweza kuni-Upload-ia ya kwake.
 
why mnapenda kuuliza maswali/kutaka support mahala ambapo sio pake?

vitu original vinapatikana sehemu official. kama unataka dashboard ambayo haijaguswa then bila was was utaipata website ya huawei na sio humu.

nenda hapa utazikuta za mac na windows
Support-E303-Downloads - Huawei Consumer BG
 
Mi nataka ya zte lakini isiwe join air msaada tafadhali


Sent from my iPhone 4S using JamiiForums app
 
Back
Top Bottom