Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,226
- 44,230
Pia waweza kuona kidhibiti halisi cha matumizi ya RAM kulingana na toleo la windows hapa: Memory Limits for Windows and Windows Server Releases (Windows)
Yeah, especially pc ambazo zinatumia graphics card za intel, kama hili li lenovo langu pia halina option kwenye bios[emoji30]hardware reserved wamemaanisha gpu sio?
nafkiri hio issue inategemea na design ya oem. mimi pc yangu ina dedicated vram, hivyo almost ram yangu yote ninayo na kwenye bios sina option ya ku adjust
nyengine ram nyingi inachukuliwa na gpu lakini inakuwa na option ya ya ku adjust kwenye bios.
nyengine zinakuwa shared, ram inatumika kote kote.
jaribu kucheki bios kwenye pc yako unaweza ukakuta sehemu ya ku adjust.
pia siku hizi ram si ghali 20,000 tu zipo za 2gb na siku zote unaekewa slot mbili kwenye laptop moja wanaeka wenyewe na moja unaachiwa wewe ya ku upgrade.
mkuu ukiuza laptop si unachomoa na ram yako? then ukinunua mpya unaichomeka tenaYeah, especially pc ambazo zinatumia graphics card za intel, kama hili li lenovo langu pia halina option kwenye bios[emoji30]
Pia nikitumia windows 8 pro napata 3.4 usable, ila windows 10 ambayo imenibamba ndio inakua 2.4
Nafikiria kununua RAM pia, ila huwa sikai sana na hizi laptops so.... Napotezea some games tu kwa sasa...
Pamoja sana Chief. [emoji106]
tafuta windows yenye 64 bitSasa nifanyaje niweze play hii GTA V wakuu??View attachment 344538
Chief naomba unisaidie kupata cd key actvtor ya gta v, game nisha install bt inahitaji key kuactvat... mm nina set up tu, nptje key??ushauri wangu eka tu windows ya 64bit
1. kama umeangalia hapo ni 3.41gb tu ya ram ndio unaweza itumia almost mb600 huwezi zitumia sababu windows ya 32bit haiwezi kutumia ram hadi 4gb au kupanda ukienda 64bit utatumia ram vizuri zaidi.
2.minimum requirements ya gta v ni 4gb lakini gpu yako inashare vram na ram ya kawaida hivyo tegemea game kuwa slow sababu gpu ikichukua 1.6gb utabakiwa na kama 1.8gb ya kurun mambo mengine. ni vyema ukaongeza ram hata 2gb iende 6gb ili kuenjoy games na pia ukiwa na ram slot zote mbili utaiongeza nguvu ya pc sababu processor za sasa zina dual chanell zinatumia ram mbili kwa mpigo.
pia kumbuka kutoa windows ya 32bit kueka 64bit itabidi ufanye clean installation hivyo utapoteza data zote
software za kisasa huwezi kuzicrack kirahisi hivyo na key.Chief naomba unisaidie kupata cd key actvtor ya gta v, game nisha install bt inahitaji key kuactvat... mm nina set up tu, nptje key??
Ina gb 65, imechukua sku nzima ku install...software za kisasa huwezi kuzicrack kirahisi hivyo na key.
umedownload wapi? setup ilichukua muda gani kuinstall? setup ina gb ngapi?
mimi nnayo moja haichezi mpaka uset tarehe april 2015 ni repack (repack zinachukua muda sana kuinstall) test na wewe pengine itakubali.Ina gb 65, imechukua sku nzima ku install...
Nimejarb imenigomea.. lbda nijarbu tnamimi nnayo moja haichezi mpaka uset tarehe april 2015 ni repack (repack zinachukua muda sana kuinstall) test na wewe pengine itakubali.
eka tarehe 15 april 2015 tarehe ya computer halafu fungua game.
cheki kwenye setup kutakuwa tu na namna ya kuicrack, hakuna folder limeandikwa crack?Nimejarb imenigomea.. lbda nijarbu tna
cheki kwenye setup kutakuwa tu na namna ya kuicrack, hakuna folder limeandikwa crack?
na hapo ulipoinstall game unafungua game kutumia file gani? hakuna file limeandikwa 3DM? rangi kama njano au orange hivi
cheki kwenye setup kutakuwa tu na namna ya kuicrack, hakuna folder limeandikwa crack?
na hapo ulipoinstall game unafungua game kutumia file gani? hakuna file limeandikwa 3DM? rangi kama njano au orange hivi
mimi nnayo moja haichezi mpaka uset tarehe april 2015 ni repack (repack zinachukua muda sana kuinstall) test na wewe pengine itakubali.
eka tarehe 15 april 2015 tarehe ya computer halafu fungua game.
unaona hapo chini ya gta launcher kuna neno icon na neno jengine launcher? click hilo neno launcher ndio game litafunguka sio hio gta launcherView attachment 432050 nmetumia hy GTAVLAUNCHER
unaona hapo chini ya gta launcher kuna neno icon na neno jengine launcher? click hilo neno launcher ndio game litafunguka sio hio gta launcher
jaribu copy vitu vyote vya crack paste hapo halafu urun tena launcher, pia angalia kama kuna 3dm nyengine ya kulaunchView attachment 432087 wamenipa ujumbe huo...
jaribu copy vitu vyote vya crack paste hapo halafu urun tena launcher, pia angalia kama kuna 3dm nyengine ya kulaunch
nilitaka ufike hapo, sasa hapo eka tarehe 15 april then run tena kama hivyo litachezaView attachment 432136View attachment 432138 nmegny hvy, ina run stry inapotka kuanza inakata inadai key.... natumia win 10, je haiwez ikawa n tatzo??
Mkuu upo mkoa upi? ,nalitamani sana hili game..Nimedowload GTA V ili niweze cheza kwenye PC na nikainstall vizuri ila kila nikitaka kucheza inaniambia hii version sio kwa PC yangu nitafute version itakayoendana na PC yangu..nimeambatanisha na picha ya jinsi inavyoniambia je nifanyeje watalaamu..naomba msaada wakuu..View attachment 344296View attachment 344297View attachment 344298View attachment 344299View attachment 344300