Gemmy
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 1,211
- 823
Usweke chochote sikio hata kuchokonoa na pamba ya masikio usijaribu nenda hospital ya masikio umekwisha elekezwa na mdau juu .Narudia tena usiweke punje ya chochote wala kuchokonoa sikio jamani kupata uziwi ni rahisi mnooAsante kwa ushauri mkuu