Naomba msaada wakuu

Naomba msaada wakuu

Kitabu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
313
Reaction score
29
Wakuu sim yangu inadownload app za kichina bila kutaka,nikifungua internet ntu,inaanza.....na kuondoa haitaki,nisaidieni tafadhali
 
Wakuu sim yangu inadownload app za kichina bila kutaka,nikifungua internet ntu,inaanza.....na kuondoa haitaki,nisaidieni tafadhali

download browser nyengine ndio njia rahisi ila kama bado unataka kutatua tatizo fanya hivi, fungua browser nenda setting ya browser uangalie vittu vifuatavyo
1.homepage eka site unayoijua pengine wamekuekea homepage ya kichina
2.make sure unaset browser isifungue last page maana kila siku itaanza na hio url ya kudownload
 
Back
Top Bottom