- Thread starter
- #21
SEMA HIYO NGOZI NI NYEUPE . NYEUSI INATEGEMEA UPELE UTAKUA
Shukrani mkuu! Ntaicheki hiyo dawa !vyake viko kwa ndani kama …SEMA HIYO NGOZI NI NYEUPE . NYEUSI INATEGEMEA UPELE UTAKUA VIPI

Mkanda wa jeshi hauko hivi, mara nyingi una vipele vidogo sana na vinauma sana na hilo eneo huwa jeusiKuNa kitu kinaitwa MKANDA WA JESHI ( HERPES ZOSTER) una sababishwa na virus Huu ugonjwa anapta mtu ambaye kinga yake ya mwili imeshuka sana sana . Mtu wa TB Na HIV
Ni kuulize HIV alipima? Maan kweny stage ya 3 au 4 mtu anapata upele kama huo unaotokea uoande mmoja wa mwili na ukiwa kwenye mstari
Dawa ACyclovir tabs na cotrimazole creaam
Jibu kwanza twende sawa
Habari!Habari za jumamosi ndugu zangu.
Nimekuja hapa kuomba msaada wa ugonjwa huu wa ngozi.
Uncle wangu ana hivi vipele mda sasa ila hakuwahi kusema miez miwili iliyopita alinionyesha..vipo kifuani haviumi wala haviwashi..viko kwa ndani na ni vigumu vigumu ukivishika.
Nilimpeleka Hospital wakampa dawa ya kunywa ila bado..pia walimpima damu (naambatanisha results zake)
Kwa wenye kujua dawa au mwenye wazo naomba msaada tafadhali .
View attachment 2359758View attachment 2359759
NI KWELI SULUHISHO BORA KWENDA HOSPITALI KUBWA NA KUMWAMBIA DAKTARI ACHUKUE SKIN SNIP YA UPELE AU ATA USAHA KWA LENGO LA KUJUA KAMA KUNA BACTERIA ANAESABABISHA HIVOHabari!
Niliona hili katika mtizamo huu:
Historia zaidi ya tatizo pamoja na kuona viumbe.
Hizi zinazoonekana ni nodules like lesions/ sina kiswahili chake. Na hizi kwenye kifua zaweza kuwa na majibu mawili tofauti kama hapa chini.
Kwa nodules lesions: tatizo laweza kuwa ndani kwenye kifua au kwenye ngozi. Mgonjwa huyu anahitaji kuonwa kwa multidisciplinary approach (dermatology/daktari bingwa wa ngozi/internal medicine physician/daktari bingwa wa magonjwa ya ndani).
Anaweza kuhitajika kuchukua sample ya kivimbe/vivimbe au na uchunguzi wa kifua pamoja na tumbo. Pia kulingana na maoni ya daktari.
Shingle/Zoster: huwa na maumivu/muwasho/burning sensation. Pia mishipa ya fahamu isingebaki kimya. Size ya vivimbe na mwonekano kwa ujumla pia bado haviendani.
Wala usimbane kwa maswali, ninachokushauri urudi hospitali na kama ana bima ya afya waombe kwanza wamfanyie CT-Scan au MRI, nadhani CT-Ccan ni nafuu. Kwa uzoefu wangu na kwa picha nilizokutumia nadhani itakuwa human cysticercosis (HCC). Tutapata uhakika ukimoana Daktari na kumueleza haya tunayoshea, naishi mikoani so si rahisi kumuona.Shukran Mkuu..ndo hivi hivi…..kuhusu kutumia kitimoto sidhani ni muumini mzuri …vipimo alivofanya ni Full blood picture (CBC) tu…..Nasubiri muendelezo wako.Shukran
Habari!
Naliona hili katika mtizamo huu:
Historia zaidi ya tatizo pamoja na kuona viumbe vinahitajika.
Mfano: uzito wake kupungua vs kuongezeka, kazi alizowahi kufanya na muda, makazi yake, historia ya familia. Vivimbe jinsi vilianza, vivimbe kuongezeka ukubwa, kiasi cha mwongezeko, dalili nyingine zilizoambatana.
Sensation ukivishika?
Hizi zinazoonekana ni nodules like lesions/ sina kiswahili chake. Na hizi kwenye kifua zaweza kuwa na majibu mawili tofauti kama hapa chini.
Kwa nodules lesions: tatizo laweza kuwa ndani kwenye kifua au kwenye ngozi. Mgonjwa huyu anahitaji kuonwa kwa multidisciplinary approach (dermatology/daktari bingwa wa ngozi/internal medicine physician/daktari bingwa wa magonjwa ya ndani).
Anaweza kuhitajika kuchukua sample ya kivimbe/vivimbe au na uchunguzi wa kifua pamoja na tumbo. Pia kulingana na maoni ya daktari atakavyoona inafaa.
Shingle/Zoster: huwa na maumivu/muwasho/burning sensation. Pia mishipa ya fahamu isingebaki kimya. Ukubwa wa vivimbe, mtawanyiko/dermatome na mwonekano kwa ujumla pia bado haviendani.
Nashukuru kwa mchango wako mkuuHabari!

Taenia solium alaf CT scan tena. Sio stool analysis au microscopyWala usimbane kwa maswali, ninachokushauri urudi hospitali na kama ana bima ya afya waombe kwanza wamfanyie CT-Scan au MRI, nadhani CT-Ccan ni nafuu. Kwa uzoefu wangu na kwa picha nilizokutumia nadhani itakuwa human cysticercosis (HCC). Tutapata uhakika ukimoana Daktari na kumueleza haya tunayoshea, naishi mikoani so si rahisi kumuona.
Tatizo hili linatokana na mabuu/larva/cyst)ya mnyoo tegu (Tapeworm-Taenia solium). Huu ni mnyoo unaokaa tumboni kwa binadamu, ukikomaa pingili zake zilizojaa mayai umeguka na kutoka pamoja na kinyesi. Binadamu au Nguruwe akinywa maji au kula chakula chnye haya mayai huingia tumboni, then kwenye mfumo wa damu yanapokuwa larva/mabuu. then, husafirishwa sehemu mbalimbali za mwili kama vile chini ya ngozi, misuli, moyo, ini, figo, na ubongo.
Binadamu anaupata mnyoo huu kwa kula nyama ya nguruwe wenye hao larva/cyst na hukua ndani ya tumbo la binadamu na kuwa mnyoo tegu (picha ya kwanza)
Ndio maana nimeshauri uanze kwanza na hivyo vipimo au vingine kama Serological test (nilizokuandikia jana, Daktari atashauri). Hawa wakiingia kwenye ubongo usababisha kifafa (30%), kichwa kuuma, kupooza, na upofu.
NB: Pengine ana tatizo lingine tu, mpleke tena hospitali tafadhali.
View attachment 2360699
Picha ya mnyoo tegu wa nguruwe (adult Tapeworm-Taenia solium)
View attachment 2360716
Huyu nimesema ana Human cysticercosis ambayo ni larva stage kueleke kuwa mnyoo kamili na ambao hukaa kwa binadamu na si kwa nguruwe. Ili binadamu au nguruwe apate hiyo cysticercosis si lazima ale nguruwe bali awe amekula mayai ya huyo mnyoo. Ukiangalia hiyo picha ya mnyoo una pingili na kila pingili ni kama begi limebeba mayai 50,000-60,000. Kiufupi chanzo cha hao cyst ni mayai ya mnyoo yaliyokana na kinyesi chenye mtu mwenye huo mnyoo tumboni. Yakiingia kwa binadamu ubadilika na kuwa larva na hukaa kwenye misuli, chini ya ngozi, ubongo n.k.. Na hili binadamu apate mnyoo unaokaa tumboni (tazama picha) ni lazima ale nyama ya nguruwe mwenye hao cyst ambayo haikuandaliwa vizuri.Taenia solium alaf CT scan tena. Sio stool analysis au microscopy
Pima choo zahanati kama kuna minyoo sawa. Ndo maana nilimuomba kazi anayofanya usikute anafuga nguruwe au anaishi nao karibu
Asante sana mkuu🙏🙏Huyu nimesema ana Human cysticercosis ambayo ni larva stage kueleke kuwa mnyoo kamili na ambao hukaa kwa binadamu na si kwa nguruwe. Ili binadamu au nguruwe apate hiyo cysticercosis si lazima ale nguruwe bali awe amekula mayai ya huyo mnyoo. Ukiangalia hiyo picha ya mnyoo una pingili na kila pingili ni kama begi limebeba mayai 50,000-60,000. Kiufupi chanzo cha hao cyst ni mayai ya mnyoo yaliyokana na kinyesi chenye mtu mwenye huo mnyoo tumboni. Yakiingia kwa binadamu ubadilika na kuwa larva na hukaa kwenye misuli, chini ya ngozi, ubongo n.k.. Na hili binadamu apate mnyoo unaokaa tumboni (tazama picha) ni lazima ale nyama ya nguruwe mwenye hao cyst ambayo haikuandaliwa vizuri.
Nimeshauri CT-Scan au MRI kwani ndio vipimo vitakavyoona hao cyst/larva kwenye ubongo, baada ya hapo atashauriwa afanye serological test ambayo wanachukua damu. Vipimo ulivyotaja ni vya kucheck kama binadamu ana uo mnyoo tumboni au la. Na dalili za huyo bwana kutokana na picha yake yaweza kuwa ni hao cyst kwenye mwili wake. Cyst ni larva stage, yaani stage ya mwisho kwenye life cycle ya mnyoo wenyewe, ili ukamilishe hatua ya kuwa mnyoo kamili lazima binadamu (final host) ausike.
Nguruwe yeye ni intemediate host tu, anakuwa na hao larva na si mnyoo kamili. Ingawa pia binadamu mbali ya kuwa anahost mnyoo kamili anaweza pia kuwa intermediate host kama ilivyo kesi ya huyo bwana kama vipimo vitathibitisha.
Ni somo geni kwa wengi na ni pana pia. Na ni tatizo kubwa tu. Ila pia mimi si mzuri sana kwenye kufafanua
Wala usimbane kwa maswali, ninachokushauri urudi hospitali na kama ana bima ya afya waombe kwanza wamfanyie CT-Scan au MRI, nadhani CT-Ccan ni nafuu. Kwa uzoefu wangu na kwa picha nilizokutumia nadhani itakuwa human cysticercosis (HCC). Tutapata uhakika ukimoana Daktari na kumueleza haya tunayoshea, naishi mikoani so si rahisi kumuona.
Tatizo hili linatokana na mabuu/larva/cyst)ya mnyoo tegu (Tapeworm-Taenia solium). Huu ni mnyoo unaokaa tumboni kwa binadamu, ukikomaa pingili zake zilizojaa mayai umeguka na kutoka pamoja na kinyesi. Binadamu au Nguruwe akinywa maji au kula chakula chnye haya mayai huingia tumboni, then kwenye mfumo wa damu yanapokuwa larva/mabuu. then, husafirishwa sehemu mbalimbali za mwili kama vile chini ya ngozi, misuli, moyo, ini, figo, na ubongo.
Binadamu anaupata mnyoo huu kwa kula nyama ya nguruwe wenye hao larva/cyst na hukua ndani ya tumbo la binadamu na kuwa mnyoo tegu (picha ya kwanza)
Ndio maana nimeshauri uanze kwanza na hivyo vipimo au vingine kama Serological test (nilizokuandikia jana, Daktari atashauri). Hawa wakiingia kwenye ubongo usababisha kifafa (30%), kichwa kuuma, kupooza, na upofu.
NB: Pengine ana tatizo lingine tu, mpleke tena hospitali tafadhali.
View attachment 2360699
Picha ya mnyoo tegu wa nguruwe (adult Tapeworm-Taenia solium)
View attachment 2360716
Wala usimbane kwa maswali, ninachokushauri urudi hospitali na kama ana bima ya afya waombe kwanza wamfanyie CT-Scan au MRI, nadhani CT-Ccan ni nafuu. Kwa uzoefu wangu na kwa picha nilizokutumia nadhani itakuwa human cysticercosis (HCC). Tutapata uhakika ukimoana Daktari na kumueleza haya tunayoshea, naishi mikoani so si rahisi kumuona.
Tatizo hili linatokana na mabuu/larva/cyst)ya mnyoo tegu (Tapeworm-Taenia solium). Huu ni mnyoo unaokaa tumboni kwa binadamu, ukikomaa pingili zake zilizojaa mayai umeguka na kutoka pamoja na kinyesi. Binadamu au Nguruwe akinywa maji au kula chakula chnye haya mayai huingia tumboni, then kwenye mfumo wa damu yanapokuwa larva/mabuu. then, husafirishwa sehemu mbalimbali za mwili kama vile chini ya ngozi, misuli, moyo, ini, figo, na ubongo.
Binadamu anaupata mnyoo huu kwa kula nyama ya nguruwe wenye hao larva/cyst na hukua ndani ya tumbo la binadamu na kuwa mnyoo tegu (picha ya kwanza)
Ndio maana nimeshauri uanze kwanza na hivyo vipimo au vingine kama Serological test (nilizokuandikia jana, Daktari atashauri). Hawa wakiingia kwenye ubongo usababisha kifafa (30%), kichwa kuuma, kupooza, na upofu.
NB: Pengine ana tatizo lingine tu, mpleke tena hospitali tafadhali.
View attachment 2360699
Picha ya mnyoo tegu wa nguruwe (adult Tapeworm-Taenia solium)
Umechb
Shukran mkuu umechambua vizur sana nimetoka kumuliza uncle anasema huwa anaumwa kichwa Mara kwa mara ….maelezo yanaendana na ugonjwa tatizo ni kwamba hatufugi nguruwe wala hajawahi kula …inawezekana hawa minyoo wana njia nyingine ya kuingia mwilini?Huyu nimesema ana Human cysticercosis ambayo ni larva stage kueleke kuwa mnyoo kamili na ambao hukaa kwa binadamu na si kwa nguruwe. Ili binadamu au nguruwe apate hiyo cysticercosis si lazima ale nguruwe bali awe amekula mayai ya huyo mnyoo. Ukiangalia hiyo picha ya mnyoo una pingili na kila pingili ni kama begi limebeba mayai 50,000-60,000. Kiufupi chanzo cha hao cyst ni mayai ya mnyoo yaliyokana na kinyesi chenye mtu mwenye huo mnyoo tumboni. Yakiingia kwa binadamu ubadilika na kuwa larva na hukaa kwenye misuli, chini ya ngozi, ubongo n.k.. Na hili binadamu apate mnyoo unaokaa tumboni (tazama picha) ni lazima ale nyama ya nguruwe mwenye hao cyst ambayo haikuandaliwa vizuri.
Nimeshauri CT-Scan au MRI kwani ndio vipimo vitakavyoona hao cyst/larva kwenye ubongo, baada ya hapo atashauriwa afanye serological test ambayo wanachukua damu. Vipimo ulivyotaja ni vya kucheck kama binadamu ana uo mnyoo tumboni au la. Na dalili za huyo bwana kutokana na picha yake yaweza kuwa ni hao cyst kwenye mwili wake. Cyst ni larva stage, yaani stage ya mwisho kwenye life cycle ya mnyoo wenyewe, ili ukamilishe hatua ya kuwa mnyoo kamili lazima binadamu (final host) ausike.
Nguruwe yeye ni intemediate host tu, anakuwa na hao larva na si mnyoo kamili. Ingawa pia binadamu mbali ya kuwa anahost mnyoo kamili anaweza pia kuwa intermediate host kama ilivyo kesi ya huyo bwana kama vipimo vitathibitisha.
Ni somo geni kwa wengi na ni pana pia. Na ni tatizo kubwa tu. Ila pia mimi si mzuri sana kwenye kufafanua
Huu ugonjwa utaukuta hata kwa nchi za wenzetu wasiofuga wala kula Nguruwe. Nitajaribu kufafanua kidogo, ili upate hawa larva/cyst si lazima ule nyama ya nguruwe, bali ni lazima uwe umekula chakula au kunywa maji au chochote chenye mayai ya mnyoo tegu. Haya mayai lazima yatoke kwa binadamu aliye na mnyoo tegu. Na huyu binadamu anapata mnyoo tegu kwa kula nyama ya nguruwe mwenye hao larva/cyst ambayo haikukaguliwa na haikupikwa na kuiva vizuri.Asante sana mkuu🙏🙏
Tunaomba utusaidie ugonjwa mwingine kama . Ndugu yetu hafugi nguruwe au haishi kwenye maeneo ambayo hawafugi na hatumiii kitimoto
Huo siyo mkanda wa jeshi.KuNa kitu kinaitwa MKANDA WA JESHI ( HERPES ZOSTER) una sababishwa na virus Huu ugonjwa anapta mtu ambaye kinga yake ya mwili imeshuka sana sana . Mtu wa TB Na HIV
Ni kuulize HIV alipima? Maan kweny stage ya 3 au 4 mtu anapata upele kama huo unaotokea uoande mmoja wa mwili na ukiwa kwenye mstari
Dawa ACyclovir tabs na cotrimazole creaam
Jibu kwanza twende sawa
Mkuu narudia tena, hao alionao chini ya ngozi si mnyoo kamili, ni hatua ya mwisho (larva stage) katika ukuaji wa mnyoo wenyewe, hatua ambayo pia utokea kwa nguruwe na mbwa. Hilo tatizo tunalipata kwa kula chakula au kunywa maji yenye mayai ya mnyoo tegu, kiumbe pekee aliye chanzo cha hayo mayai ni binadamu mwenyewe aliye na huo mnyoo. Binadamu mwenye huo mnyoo kamili (picha nimekutumia) ni lazima awe anakula nguruwe.Shukran mkuu umechambua vizur sana nimetoka kumuliza uncle anasema huwa anaumwa kichwa Mara kwa mara ….maelezo yanaendana na ugonjwa tatizo ni kwamba hatufugi nguruwe wala hajawahi kula …inawezekana hawa minyoo wana njia nyingine ya kuingia mwilini?
Dogo ndo mgonjwa huyo hakuna Cha anko Wala Ninimpumbavu kweli, mbona kama unamtetea ivi, akiwa anararua papuchi uko hua unakua naye ?