Naomba msaada wa tiba ya muwasho sehem za siri

Kijoroo

Member
Mar 25, 2021
43
135
Habari zenu wana jamii.
Bila kuwachosha naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Mimi ni jinsia Me nimekuwa nasumbuliwa na muwasho sehem za siri hasa kwenye uume na sehem za mapajani takriban wiki ya tatu sasa. Nilienda duka la madawa na kuelezea ugonjwa wangu, muuza duka akaniambia nitakuwa na fangasi hivyo akanipatia dozi ya vidonge vya fangasi pamoja na tube ya kupaka. Nimemaliza zile dawa pamoja na tube ya kupaka ila muwasho bado upo palepale. Yaan napojikuna ndo vinatoka Kama vipele flani vidogo. Kwenye uume vipele sio kiivyo ni Kama vitatu tu hivi ila haviwashi kunako washa ni sehem isiyo na hivyo vipele. Yaan nikianza kujikuna sitamani kuacha kwa raha ninayoipata. Naombeni msaada kwa anaeweza kujua hili tatizo.
 
mkuu pole huo ugonjwa umeingia sana
uume unapata vipele vigumu haviumi ila vinawasha kimtindo
pole saba nitakupa tiba yake
 
Nimeenda hospitali leo nimechek magonjwa ya zinaa nimekutwa negative wamenipa dawa za kumeza na za aleji sasa nikwauliza Kama sina ugonjwa wowote wa zinaa sasa hizi dawa zinaenda kunitibu nini? Kwakweli sijapewa jibu la kueleweka hata sikumbuki yule Dr alichosema cha maana zaid ya kuongea tu maneno maneno magumu ya biology.
 
Pole sana, ngoja waje kukupa muongozo... Na mjitahidi mue mnanyoa...
 
Habari zenu wana jamii.
Bila kuwachosha naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Mimi ni jinsia Me nimekuwa nasumbuliwa na muwasho sehem za siri hasa kwenye uume na sehem za mapajani takriban wiki ya tatu sasa. Nilienda duka la madawa na kuelezea ugonjwa wangu, muuza duka akaniambia nitakuwa na fangasi hivyo akanipatia dozi ya vidonge vya fangasi pamoja na tube ya kupaka. Nimemaliza zile dawa pamoja na tube ya kupaka ila muwasho bado upo palepale. Yaan napojikuna ndo vinatoka Kama vipele flani vidogo. Kwenye uume vipele sio kiivyo ni Kama vitatu tu hivi ila haviwashi kunako washa ni sehem isiyo na hivyo vipele. Yaan nikianza kujikuna sitamani kuacha kwa raha ninayoipata. Naombeni msaada kwa anaeweza kujua hili tatizo.
Pole jaribu asubui ukiamka unywe maji na ounje tatu za kitunguu swaumu

pia tafuta mafuta ya nazi yale ya maji uwe unapaka huko mafuta ya nazi yana ant-fungal properties
 
Habari zenu wana jamii.
Bila kuwachosha naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Mimi ni jinsia Me nimekuwa nasumbuliwa na muwasho sehem za siri hasa kwenye uume na sehem za mapajani takriban wiki ya tatu sasa. Nilienda duka la madawa na kuelezea ugonjwa wangu, muuza duka akaniambia nitakuwa na fangasi hivyo akanipatia dozi ya vidonge vya fangasi pamoja na tube ya kupaka. Nimemaliza zile dawa pamoja na tube ya kupaka ila muwasho bado upo palepale. Yaan napojikuna ndo vinatoka Kama vipele flani vidogo. Kwenye uume vipele sio kiivyo ni Kama vitatu tu hivi ila haviwashi kunako washa ni sehem isiyo na hivyo vipele. Yaan nikianza kujikuna sitamani kuacha kwa raha ninayoipata. Naombeni msaada kwa anaeweza kujua hili tatizo.
Ukilala usiku usijifunike shuka, lala umejichanua. Muwasho utaisha kwa muda.
 
Habari zenu wana jamii.
Bila kuwachosha naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Mimi ni jinsia Me nimekuwa nasumbuliwa na muwasho sehem za siri hasa kwenye uume na sehem za mapajani takriban wiki ya tatu sasa. Nilienda duka la madawa na kuelezea ugonjwa wangu, muuza duka akaniambia nitakuwa na fangasi hivyo akanipatia dozi ya vidonge vya fangasi pamoja na tube ya kupaka. Nimemaliza zile dawa pamoja na tube ya kupaka ila muwasho bado upo palepale. Yaan napojikuna ndo vinatoka Kama vipele flani vidogo. Kwenye uume vipele sio kiivyo ni Kama vitatu tu hivi ila haviwashi kunako washa ni sehem isiyo na hivyo vipele. Yaan nikianza kujikuna sitamani kuacha kwa raha ninayoipata. Naombeni msaada kwa anaeweza kujua hili tatizo.
Tafta limao kata na upake sehem ya muwasho kama ni fangasi itakata ndan ya siku 2 tuu paka asubh na jion ukilala
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom