kaburu mdogo
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 567
- 400
Kwanza natanguliza salam za dhati kwenu.
Natumia samsung galaxy gt 19500, kila ninapojaribu ku download video especially video za movie zina download yote ila wakati kwa kuplay inaplay dakika 5 au 6,naomba kama kuna mtu anafahamu application nyingine aniekeze au anielekeze jonsi ya kutumia hizi zinazojaribu maana nimejaribu kwa tubidy na utorernt au kama kuna set up sijafanya naomba mnielekeze.
Shukrani kwa yote