Lord Lofa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2011
- 2,359
- 2,315
Wakuu habari za humu ndani
Nina tatizo la device zangu kushindwa ku access emails za gmail, ninatumia mtandao wa TTCL ninatumia hotspot tethering kutoka kwenye Tablet ya Lenovo. Website nyengine zote ninaweza kuzi access isipokuwa gmail, na bittorrent haidownload files zangu.
Nikiweka line ya tigo kwenye Tablet hakuna tatizo lolote, mtandao uko vizuri na ninaweza kusoma email na kudownload file zangu kwenye bittorrent.
Nimewapigia simu TTCL wameniambia nifanye config za internet sehemu ya Name ya ISP niandike TTCL kwa herufi kubwa na sehemu ya ANP niandike internet, nimefanya hivyo lakini bado tatizo liko palepale naomba msaada wenu wataalamu wa haya mambo