Naomba Msaada wa Neno la Kiingereza

Naomba Msaada wa Neno la Kiingereza

unaitwa cowitch plant kama ni ule unaoota kwa kujivingirishia kwenye mimea mingine. Majani yake green na maua yake ka sufi nyeupe. Ulitamka Kilimanjaro upo mmea huu na mwingine unaoota kwenye mashamba haswa karibu na mto, yaani bondeni. Una kitu kaa miiba myeupe unaitwa (Marashu) kiswahili sijui ila tulikuwa tunawafungia wadokozi kwenye gunia na kulijaza hiyo kitu. Mbona waliacha kabisa?
 
Back
Top Bottom