SHIEKA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,240
- 4,270
Huku kwetu kilimanjaro na hata sehemu nyingi hapa nchini, kuna mmea ambao majani yake yanawasha sana.Ukiyagusa tu, utawashwa na kupata maumivu makali. Kwa kiswahili tunayaita washawasha.Mikoa ya kusini hiyo kitu ipo ila inaitwa
u.p.u.p.u Wataalamu naomba neno la kiingereza la washawasha/u-p-u-p-u
u.p.u.p.u Wataalamu naomba neno la kiingereza la washawasha/u-p-u-p-u