Naomba msaada wa namna ya kujisajili OTEAS

MUSIGAJI

JF-Expert Member
Dec 26, 2014
2,186
2,455
Wakuu habari ya majukumu?Tafadhali naomba mwenye kujua namna ya kujisajili na mfumo wa maombi ya ualimu wa TAMISEMI anisaidie kunielekeza hatua kwa hatua tangu namna ya kujisajili mpaka kutuma maombi.

Tafadhali naomba nisaidiwe.
 
Ingia kwenye home page ya tamisemi utakuta tangazo la kuomba ajira ukifungua itakuletea chaguzi mbili moja ya chaguzi hilo ni kuomba ajira ukifungua tu hapo itaanza kukuelekeza hatua za kufuata .

Ni suala la kuwa na viambatanisho tuu kama namba ya nida, vyeti vyote vinavyohitajika kwa mujibu wa maelekezo pia barua ya maombi .

Ni hayo tu.
 
Ingia kwenye home page ya tamisemi utakuta tangazo la kuomba ajira ukifungua itakuletea chaguzi mbili moja ya chaguzi hilo ni kuomba ajira ukifungua tu hapo itaanza kukuelekeza hatua za kufuata . Ni suala la kuwa na viambatanisho tuu kama namba ya nida, vyeti vyote vinavyohitajika kwa mujibu wa maelekezo pia barua ya maombi . Ni hayo tuu

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mkuu nimefikia hapa mahali pa kuweka index number tafadhali nisaidie namna ya kuweka,bado inaniletea shida.
 
Andika barua ya maombi ya kazi hiyo ya ualimu kwa katibu mkuu tamisemi, kisha iscan pamoja na vyeti vyako, CV , cheti cha kuzaliwa na kopi ya kitambulisho cha NIDA kama unacho,(japo namba tu ya NIDA inatosha), Viscan vyote kutengeza Document moja, kisha visave kwenye flash au PC au simu yako.

Then ingia katika tovuti ya tamisemi kwa adress(www.ajira.go.tz), Ikifungua kuna sehemu utaona pameandikwa apply for job, ingia hapo maelekezo mengine yote utayapata humo, ikifika wakati wa kuattach file ndipo utaattach hiyo doc uloscan barua na vyeti.

NB: Hapo ni lazima uwe na scanner na sio kupigapiga picha kwa kutumia cm! Ukishindwa kabisa nenda stationery kila kitu watakusaidi, ila cost zipo!
 
Andika barua ya maombi ya kazi hiyo ya ualimu kwa katibu mkuu tamisemi, kisha iscan pamoja na vyeti vyako, CV , cheti cha kuzaliwa na kopi ya kitambulisho cha NIDA kama unacho,(japo namba tu ya NIDA inatosha), Viscan vyote kutengeza Document moja, kisha visave kwenye flash au PC au simu yako...
Nipo hapa kwenye sehemu ya details za form four. Kipengele cha Index number kila nikijaribu kuweka wanasema Index number invalid. Mfano S4040/0053 imaginary, nikajaribu S4040-0053 ikagoma, ebu nisaidieni format ya kuweka hii index number.
 
Jaribu Tumia nukta humo eg. S.4040.0053
 
Nipo hapa kwenye sehemu ya details za form four. Kipengele cha Index number kila nikijaribu kuweka wanasema Index number invalid. Mfano S4040/0053 imaginary, nikajaribu S4040-0053 ikagoma, ebu nisaidieni format ya kuweka hii index number.
Mbona nimejaribu kuandika namba zako imekubali.

Screenshot_20200915-153736.png

Weka namba bila kuacha space.
 
Andika barua ya maombi ya kazi hiyo ya ualimu kwa katibu mkuu tamisemi, kisha iscan pamoja na vyeti vyako, CV , cheti cha kuzaliwa na kopi ya kitambulisho cha NIDA kama unacho,(japo namba tu ya NIDA inatosha), Viscan vyote kutengeza Document moja, kisha visave kwenye flash au PC au simu yako...
Application letter inaunganishwa na certificates kweli?

Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
 
Kwenye mfumo wao wa ajira kila document ya kuupload ina jina na sehem yake, so huwezi upload kitu ambacho hujaambiwa
 
We nenda step by step. Barua itakuja mwishoni sana then itajiapload yenyewe baada ya kusave kila hatua.
 
Nipo hapa kwenye sehemu ya details za form four. Kipengele cha Index number kila nikijaribu kuweka wanasema Index number invalid. Mfano S4040/0053 imaginary, nikajaribu S4040-0053 ikagoma, ebu nisaidieni format ya kuweka hii index number.
Ukiandika index namba mwisho kule weka alama ya mkato na mwaka uliomaliza form four..mfano: index number/2012
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom