Unapohitaji ushauri ni vizuri ukajitahidi kutumia lugha "lahisi" ili uweze kueleweka. Jiepushe kuchanganya lugha.
Mie sijakuelewa kabisa. Hivi ulipoenda wamekuambia huna haja ya kulipa kiasi kilichobaki au unakilipa kwa kutoa kiasi fulani huku mkiandikishana mkataba wa kufuta deni?
Walisema haina haja ya mimi kupeleka fedha Bali wao wataniandikisha mkataba mwingine kwa kuangalia deni tu nimelipa kiasi gani pasipo riba ndipo napata mkanganyiko kwasababu ndani ya miezi 24 deni pasipo riba litakuwa limeisha je uhalisia kiuzoefu iko vp hii??Unapohitaji ushauri ni vizuri ukajitahidi kutumia lugha "lahisi" ili uweze kueleweka. Jiepushe kuchanganya lugha.
Mie sijakuelewa kabisa. Hivi ulipoenda wamekuambia huna haja ya kulipa kiasi kilichobaki au unakilipa kwa kutoa kiasi fulani huku mkiandikishana mkataba wa kufuta deni?
Hahaha #kaveli unapokosoa toa kasoro,,, kwamfano mjumbe aliyetangulia kasema kuchanganya lugha si vyema,,, kwahivo pole mtu mzima pia kutoa kasoro yenye kasoro ni shida,,, LOLkwakweli mkuu uandishi mwingine huwa ni sheedah. Mtu mzima anaandika utadhani anaendesha baiskeli.
Inamlazimu msomaji atumie nguvu nyingi kumuelewa. kazi kweli kweli...
Walisema haina haja ya mimi kupeleka fedha Bali wao wataniandikisha mkataba mwingine kwa kuangalia deni tu nimelipa kiasi gani pasipo riba ndipo napata mkanganyiko kwasababu ndani ya miezi 24 deni pasipo riba litakuwa limeisha je uhalisia kiuzoefu iko vp hii??
Wana uchumi wenye uzoefu naomba ushauri nina deni Bayport wa sh milioni 9.9 lililotokana na mkopo wa sh, milioni 5.2 kiukweli riba zao ni kali,,,, nimekopa kwa miezi 36,,,,,,, bado miezi 3 niwe na miezi 24,, nimewaza kwenda kupunguza ikiwezekana kufuta deni kabisa,,, muhudumu kaniambia Sina haja ya kuandaa hela pindi niendapo tutaandikishana tu mkataba na pia kasema huo mkataba hatutajali riba wataangalia nimefikisha kiasi changu cha deni na kumaxmize makato ili nimalize mapema je ni sawa??? Na kwa hesabu zangu miezi hiyo 24 ntakuwa nimelipa milioni 6 kama riba hawataangalia inamaana deni Sina inamaana wataniandikisha mkataba wa kufuta deni????? Msaada pls kwa uzoefu wenu
Rahisi sio Lahisi mkuuUnapohitaji ushauri ni vizuri ukajitahidi kutumia lugha "lahisi" ili uweze kueleweka. Jiepushe kuchanganya lugha.
Mie sijakuelewa kabisa. Hivi ulipoenda wamekuambia huna haja ya kulipa kiasi kilichobaki au unakilipa kwa kutoa kiasi fulani huku mkiandikishana mkataba wa kufuta deni?
Rahisi sio Lahisi mkuu