Naomba msaada wa makadirio ya kujenga chumba,sebule,jiko,choo na ''store''

KWI KWI

JF-Expert Member
Mar 31, 2011
286
84
JF,
Naomba ushauri,nahitaji kujenga nyumba ya bei nafuu(ya kawaida tu)Chumba,sebule,jiko,choo na store inanitosha kwasasa....nina kiwanja toangoma,wilaya ya temeke,Dar es salaam.
Nikitazama mfuko wangu naona nina kipato ambacho nikidogo.. nina kiji'bihashara kinachoniingizia pesa kidogo kidogo....nafikiria kuanza kujenga kutokana na hicho kipato .......maana mwenye nyumba anaomba kodi hata kabla ya kuisha mkataba....yani kero tu...natamani ningekuwa kwangu.
Asante ''in advance...''
Mr.KWI KWI
 
Ili kupata gharama elekezi za nyumba yako ni vema ukachorewa kwanza aina ya nyumba unayotaka kwa msaada wa kwanza nita kuunganisha na mtalamu wa uchoraji na ukadiriaji majengo piga simu no 0715865544
 
Back
Top Bottom