Naomba msaada wa kutofautisha Engine 1G-FE na VVTi

Naomba msaada wa kutofautisha Engine 1G-FE na VVTi

Nawashukuru wote kwa majibu yenu

Huu mwaka wa 5 sasa natumia Engine ya D4 na sijapata tatizlo lolote!

Ila mafundi ukiwauliza watakwambia hiyo acha kabisa ogopa ogopa ogopa!!!!!!!!!😉
 
SAfi sana mkuu hiyo ndio engine ambayo ndio mzungu kaitoa na inasifa kila idara nguvu ,inakula mafuta kidogo sana na nirafiki wa mazingira.
hapo mkuu cha msingi zaidi ya kuzingatia service hakikisha suala la mafuta unazingatia usiweke mafuta ya magumashi yaliyochakachuliwa au machafu na usitumie mafuta mpaka gari inazimika. achana na mambo ya kupuliza air clener mda ukifika badili mpya utaenjoy na hutoijutia engine ya D4

Air cleaner inabadilishwa baada ya Muda Gani Mkuu
 
Fuata ushauri huu,ukiambiwa ununue simu ya Samsung version yenye antenna na Samsung galaxy S4 utachukua ipi?utachukua yenye antenna ambayo ikiharibika ina mafundi au utachukua galaxy S4 ambayo haina mafundi lakini ni more efficient!tafakari uamuzi ni wako.
Nimependa mfano wako
 
Back
Top Bottom