Naomba msaada wa kutoa hela yangu kwenye Group Buying, nahisi nimeingia mkenge!

Mkuu, There is no such thing as a FREE LUNCH.

Usihesabu ulichopoteza, hesabu ulichobakiza na ukae kitaalamu usiibiwe tena.

Mwanaume ni lazima upambane ndio upate riziki, ukiona unaletewa riziki mezani ujue kuna walakini na sio bure, lazima kuna namna utalipia.

Be a Man, Focus na legit issues za kutumia akili zako au nguvu zako.
Kwel nimejifunza asante
 
Habari yenu ndugu zangu, naombeni msaada wenu kuipata hii hela nikaitoa au kwa mtu yeye aliyewahi kucheza kwa kununua vitu halafu wanakupa commission kwa ile pesa uliyotoa. Commission yao inaanzia 30% mpaka 40%.

Hii issue inafanyika telegram basi na mimi nikawa muhanga. Nilikuwa natuma screenshoot za video ya YouTube waliokupa zikifika 10 unapewa 10000, sasa kuna muda unapewa task uweke elfu 30 halafu unapewa 39 pamoja na commission, nikalipwa. Sasa ndio nikaona hela ndio zipo huku.

Nikaendelea kucheza, nikacheza elfu 70 nikapewa elfu 90, sasa nikacheza tena elfu 70 nikaambiwa system inataka ucheze laki 2 kwahiyo niongeze lak 130 ili iwe laki 2, nikaweka.

Lakini nikaambiwa niweke tena laki 6, sasa laki 6 sina na pesa yangu imekwama ipo kwenye account yao, kuitoa ndio kipengele. Mwenye ujuzi naomba anisaidie kuitoa jaman.

Huwa nawaambia watu hii nchi CCM si rahisi kutoka madarakani maana inaongoza nyani wasiojitambua si binadamu!! Pathetic fool!
 
Habari yenu ndugu zangu, naombeni msaada wenu kuipata hii hela nikaitoa au kwa mtu yeye aliyewahi kucheza kwa kununua vitu halafu wanakupa commission kwa ile pesa uliyotoa. Commission yao inaanzia 30% mpaka 40%.

Hii issue inafanyika telegram basi na mimi nikawa muhanga. Nilikuwa natuma screenshoot za video ya YouTube waliokupa zikifika 10 unapewa 10000, sasa kuna muda unapewa task uweke elfu 30 halafu unapewa 39 pamoja na commission, nikalipwa. Sasa ndio nikaona hela ndio zipo huku.

Nikaendelea kucheza, nikacheza elfu 70 nikapewa elfu 90, sasa nikacheza tena elfu 70 nikaambiwa system inataka ucheze laki 2 kwahiyo niongeze lak 130 ili iwe laki 2, nikaweka.

Lakini nikaambiwa niweke tena laki 6, sasa laki 6 sina na pesa yangu imekwama ipo kwenye account yao, kuitoa ndio kipengele. Mwenye ujuzi naomba anisaidie kuitoa jaman.

Ushapigwa hapo
 
Hizo mimi nikilaga hela ya kwanza nasema asante Mungu nawablock
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
ushapigwa haitoki. Hao ni wanaija wapo hapa hapa tz. Ukicheza na pesa inakucheza
 
Hakuna njia rahisi kutafuta pesa. Lesson learned
Sawa mtu wa mitambo Gru master
images%20(67).jpg
 
Back
Top Bottom