donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Tuma hata picha ya hiyo saa tuione kwanza alafu fanya kama alivyo kuambia mwana juu hapo washa Bluetooth kisha pair alfu ndio ujue tatizo liko wapi.
Umeshafanikiwa au bado?
M4 unamaanisha mi band 4?
Nimefanikiwa, thanks mkuuHiyo saa mimi pia ninayo na ku pair ni simple, hakikisha saa iko on(kama haina chaji na imezima huwezi fanikiwa).
Washa bluetooth ya sim kisha ingia kwny app ya Fitpro kisha una pair easy tu... Baada ya ku pair itabidi uingie kwny hiyo hiyo app kuna sehem ya kutia tick apps unazohitaji kupokea notification kwenye saa yako... Easy bro
Sent using Jamii Forums mobile app
Usisahau kuweka tick kwenye feature ya Bright screen mode ili kila ukinyanyua mkono kutazama saa basi screen inawaka yenyewe, haina haja ya kutouch kioo cha saa.
Kwa msaada hiyo feature utaipata kwenye hiyo hiyo app ya fitpro, kipengele cha SET, karibu na DND mode hapo juu kushoto
Sent using Jamii Forums mobile app