ashomile
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,625
- 2,443
Km zote zimedunda tumia Eft simple sanamiracle ina crush inapoanza tu ku'read info
Km zote zimedunda tumia Eft simple sanamiracle ina crush inapoanza tu ku'read info
fresh mkuu,ngoja nichek nayoKm zote zimedunda tumia Eft simple sana
Kuwa na tecno fi ni kujidhalilisha? Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yakeKwa nini usinunue simu mpya nyingine mkuu mbona mnajidharirisha sana vijana wa sasa hivi
Hebu readinfo kwanza tuone firmware hyosp flash tool inaleta error mwishoni.."
BROM ERROR : S_SECURITY_SECRO_HASH_INCORRECT (6126) , MSP ERROE CODE : 0x00
Tumeongea mpaka na machozi juu,chonde chonde tecno sio simu hamtuelewi sasa wacha ujifunze kitu kipya
ha ha haaaaaaa utatuumiza mbavu zetuKinachofuata hapo ni simu kua inajiwasha tochi yenyewe ikiwa mfukoni,utasikia tu paja linaungua kwa mbaaaaaaali.
Bora hata uchukue samsung ya bei raisi kuliko tecno mkuuatufanani mkuu,uo uwezo wa iphone sina!!
Samsung ya bei rahisi si ndiyo hiyo A10s yenye MTK ina tofauti gani na tecno sasa au jina tu?Bora hata uchukue samsung ya bei raisi kuliko tecno mkuu
Simu yako F1 bootloader yake ipo secured. Kwahyo unatakiwa kutumia DA file ili kuweza kuiservice.
Ingia hapo utaelewa DA ni nn na kazi zake nn. Pia utaweza kuidownload humo humo
Tecno MTK Secure Boot Download Agent (DA) loader files
Samsung yoyote ni bora kuliko tecnoSamsung ya bei rahisi si ndiyo hiyo A10s yenye MTK ina tofauti gani na tecno sasa au jina tu?
Ubora siyo jina ubora ni vifaa vilivyomoSamsung yoyote ni bora kuliko tecno
fresh sana mkuu!!Simu yako F1 bootloader yake ipo secured. Kwahyo unatakiwa kutumia DA file ili kuweza kuiservice.
Ingia hapo utaelewa DA ni nn na kazi zake nn. Pia utaweza kuidownload humo humo
Tecno MTK Secure Boot Download Agent (DA) loader files
still bado inaznguaa,au nii'root kwanzaSimu yako F1 bootloader yake ipo secured. Kwahyo unatakiwa kutumia DA file ili kuweza kuiservice.
Ingia hapo utaelewa DA ni nn na kazi zake nn. Pia utaweza kuidownload humo humo
Tecno MTK Secure Boot Download Agent (DA) loader files
still bado inaznguaa,au nii'root kwanza