Naomba msaada wa kusomeshwa Udaktari

Naomba msaada wa kusomeshwa Udaktari

Joined
Oct 21, 2016
Posts
5
Reaction score
3
Nimechaguliwa chuo cha udaktari hubert kairuki memorial University lakin sina ada na mkopo nimekosa, ikiwa ni yatima ambae sina baba,nimesoma shule za government tangu primary!

Nilienda heslb wakaniambia nikate rufaa lakin unapokata rufaa unatakiwa uwe chuon tayar na usiwe nyumban that means unatakiwa ulipe ada ya awali kitu ambacho ni vigumu kwangu jamani.
 
nimechaguliwa chuo cha udaktar hubert kairuki memorial University lakin sina ada na mkopo nimekosa,ikiwa ni yatima ambae sina baba,nimesoma shule za government tangu primary!nilienda heslb wakaniambia nikate rufaa lakin unapokata rufaa unatakiwa uwe chuon tayar na usiwe nyumban that means unatakiwa ulipe ada ya awali kitu ambacho ni vigumu kwangu jaman

Nenda kwenye geti la ikulu pale kaa pale lala pale pale...John Magufuli akikuona tu...lazima usome bure .

Ama nenda kwa Paul Makonda afu atakuunganisha na Clouds na GSM...utapata misaada ya maana.

Fanya ivo afu uje utupe mrejesho
 
Back
Top Bottom