Naomba Msaada wa Kupata Past Paper za QT

Lisa

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2009
Posts
1,549
Reaction score
1,075
Habari za Leo wanajamvi,
Naombeni msaada wenu wa kupata past paper za QT kuanzia mwaka 2006 - 2013 za History, Geograph, English , Kiswahili na Civics . nina msichana ninayemsomesha anatarajia kufanya mtihani mwakani, kama kunauwezekano wa kuzipata naomba nijuzwe zinapatikana wapi, maana nime Google sijapata hata moja naona Necta hawaweiki kwenye mtandao.

Nawatakieni siku njema
 
Nenda kwenye vituo vya kufanyia mitihani ya private candidate(ps) muone mwl wa taaluma ofisini kwake yapo mengi tena mengine mpaka mchwa na panya ndio chakula chao kwa sababu watu wa kuyasoma hawapo
 
Asante sana nimepata nimepewa link ya kuyapata nimepata kuanzia 1999 to date. Nashukuru sana na ubarikiwe.
 
Form 2 au 4? usitoe maelezo nusu nusu
Ukiwa hupendi kumjibu mtu si lazima, unaacha, kama ulikuwa umeguswa kunijibu ungenijibu kama mchangiaji Riro 23 alivyonijibu. najua nawe itafika wakati utapata shida na utapenda kusaidiwa, sidhani kama utafurahi kupata majibu ya mkato kama hayo ya kwako.
 
Asante sana nimepata nimepewa link ya kuyapata nimepata kuanzia 1999 to date. Nashukuru sana na ubarikiwe.

Da kk nami pia ninashida nayo so naomba uniwekee hiyo link nami niyatafute so naomba unipe hyo link ya pepa za QT br
 
Ukiwa hupendi kumjibu mtu si lazima, unaacha, kama ulikuwa umeguswa kunijibu ungenijibu kama mchangiaji Riro 23 alivyonijibu. najua nawe itafika wakati utapata shida na utapenda kusaidiwa, sidhani kama utafurahi kupata majibu ya mkato kama hayo ya kwako.

Cjajua kwann umepanic kwan form 4 ya miaka miwil hakuna? Kama ipo huwa inaitwaje?

Sent from my iPhone 4 using JamiiForums
 
Da kk nami pia ninashida nayo so naomba uniwekee hiyo link nami niyatafute so naomba unipe hyo link ya pepa za QT br

maktaba.tetea.org utayakuta humo yapo mengi, nakutakia masomo mema
 
Back
Top Bottom