Naomba msaada wa Kupata office 2007 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba msaada wa Kupata office 2007

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Morinyo, Feb 15, 2012.

 1. M

  Morinyo JF-Expert Member

  #1
  Feb 15, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 2,472
  Likes Received: 463
  Trophy Points: 180
  Habari leo wanajamii, cmputer yangu ilikua inatumia microsoft office 2007 ikapata tatitizo ikabidi niiformat. baada ya kuuiridisha katika hali ya kawaida nimekosa microsoft office 2007 ikabidi niweke microsoft office 2003. Baada ya kuweka office 2003, tatizo nililokumbana nalo ni kua docoment karibu zote zimegoma kufunguka na naona kama vile inanisumbua . Naomba mwenye msaada wa jinsi ya kupata microsoft office 2007 anisaidie.
   
 2. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #2
  Feb 15, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  IPakue hapa Ms office 2007 . Nimeshindwa kuli attach ziiped file sababu ya size

  Ms office 2007 torrent
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Feb 15, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,315
  Likes Received: 19,463
  Trophy Points: 280
  key zake zipo kaka?
   
 4. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #4
  Feb 15, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0

  Yap ukipakua na ku unzip fiie soma text files . Zipo mbili moja ni ya instructions nyingine ina serial keys
   
 5. M

  Morinyo JF-Expert Member

  #5
  Feb 15, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 2,472
  Likes Received: 463
  Trophy Points: 180


  Nashukuru sana ndugu yangu. Ngoja nijaribu.
   
Loading...