Ufusadi mwingine wa Elimu-English medium primary schools za serikali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ufusadi mwingine wa Elimu-English medium primary schools za serikali

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Andindile, Mar 26, 2010.

 1. Andindile

  Andindile JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2010
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Serikali katika sera yake ya elimu ilishatamka kuwa lugha rasmi ya kufundisha shule za msingi ni kiswahili na kiingereza kitafundishwa kama somo. Lakini cha ajabu serikali hiyi hiyo inaendesha baadhi ya shule zake kama English medium school. Shule hizi teule ni Olympio, Bunge, Kisutu na moja nimeisahau jina. Watoto wanaosoma katika shule hizo wanapata mahitaji yao yote kama watoto wanaosoma private english medium schools.

  Kama wameona shule zinazofundisha kwa lunga ya kiingereza ni bora zaidi kwa nini basi wasibadili sera na kutamka kuwa shule zote za msingi nchini zitafunndisha kwa lunga ya kiingereza! Maana kinacho fanyika sasa ni ufisadi mwingine wa kupindukia wa kuwapatia "bora elimu" watoto wa makabwela na "elimu bora" watoto wa vigogo.

  Jamani na tupaze sauti tuseme yatosha! Watoto wa shule za serikali wote wanastahili kupata elimu bora. Kama wameona kiingereza ni bora kufundishia, basi wakitumie katika shule zote.
   
 2. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  shule hizo wanasoma watoto wa vigogo na watoto wa wafanyakazi wasomi mskini wote kalaga bao!bongo kazi kweli!
   
Loading...