Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,319
- 3,432
cheza cheza demo kwanza mbona una haraka hivyo?
last time kama siku 3 zilizopita crack ilikua haijatoka bado
Demo linaboa liko so limited,hawa cracker this time wamelala sana mpk leo tarehe30, crack ya game bado internet na wakati game limetoka tarehe 23
inawezekana wameongeza security
na skidrow pia,hawa jamaa nwakubali sana kwa crack im sure watafanikiwa tu sema patient ndo kinachonishinda coz hili game ni tamu sana hasa baada a kuionja demo yake,ila kwa sasa nahisi sina jinsi!!Siyo inawezekana huo ndo ukweli wenyewe.
Baada ya kufanikiwa ku-Crack The Sims 4 wanadai EA waliongeza security kwenye FIFA 15.
3DM ndo group pekee linalotegemewa kwa sasa, inasadikika groups nyingine zimekata tamaa.
Mategemeo ya kila mtu yamebaki kwa huyu/hawa "genius" wa Kichina (3DM).
May God bless him/her/them.
as long inwezekana kucrack operating system basi na hili pia litawezekana tu hata wabane vipi.just a matter of time..inawezekana wameongeza security
Siyo inawezekana huo ndo ukweli wenyewe.
Baada ya kufanikiwa ku-Crack The Sims 4 wanadai EA waliongeza security kwenye FIFA 15.
3DM ndo group pekee linalotegemewa kwa sasa, inasadikika groups nyingine zimekata tamaa.
Mategemeo ya kila mtu yamebaki kwa huyu/hawa "genius" wa Kichina (3DM).
May God bless him/her/them.
na skidrow pia,hawa jamaa nwakubali sana kwa crack im sure watafanikiwa tu sema patient ndo kinachonishinda coz hili game ni tamu sana hasa baada a kuionja demo yake,ila kwa sasa nahisi sina jinsi!!
samiiyna wa`atwaana.ngoja nivute subira zaidiSkidrow watu wanawalaumu kwa tabia ya kuziwahi cracks kutoka 3DM halafu wana-Edit lines mbili tatu na kuziita zao.
Kitu kingine kinachowachelewesha hawa Wachina (3DM) ni bugs zilizopo kwenye game lenyewe la FIFA 15.
Kuwa mvumilivu, hata FIFA 14 lilisumbua hivi hivi tena lile ndo liliwasumbua zaidi kwasababu security iliyotumika kipindi kile ilikuwa mpya to them.
kua mpole mkuu,,mambo yatakua oky soon.Heshima kwenu wakuu,ninauhitaji na game la fifa 15, pc version,nimejaribu kudownload internet lakini sijafanikiwa kuweza kulicrack,nimehangaika ila sijafanikiwa so kwa yeyote ambayo analo lililokuwa cracked tayari na linacheza kwenye pc yake tafadhali naomba tuwasiliane,
Natanguliza shukrani za dhati.!
i am dying for it.
samiiyna wa`atwaana.ngoja nivute subira zaidi
Heshima kwenu wakuu,ninauhitaji na game la fifa 15, pc version,nimejaribu kudownload internet lakini sijafanikiwa kuweza kulicrack,nimehangaika ila sijafanikiwa so kwa yeyote ambayo analo lililokuwa cracked tayari na linacheza kwenye pc yake tafadhali naomba tuwasiliane,
Natanguliza shukrani za dhati.!
i am dying for it.
dah kila muda naGoogle kama tayari ila hakuna kituHeshima kwenu wakuu,ninauhitaji na game la fifa 15, pc version,nimejaribu kudownload internet lakini sijafanikiwa kuweza kulicrack,nimehangaika ila sijafanikiwa so kwa yeyote ambayo analo lililokuwa cracked tayari na linacheza kwenye pc yake tafadhali naomba tuwasiliane,
Natanguliza shukrani za dhati.!
i am dying for it.
we are waiting mkuu tarehe 24 sio mbalinimepitia kickass torrent leo kucheck jamaa wa SKIDROWCRACK wanategemea kuanzia tar 12 mpaka tar 24 crack itakuwa wameshaitoa..keep on waiting people..