mkalenda
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 290
- 23
Wakuu habari za mihangaiko,
Kuna hiyo website (fastcardtech.com), wanauza cm nyingi na nzur from china kama xiaomi, oppo, lenovo etc, naitaji kununua cm kutoka kwenye hiyo website.
Nilikua naomba mtu mwenye paypal na uzoefu kununua vitu online tuwasiliane nimwoneshe aina ya cm nayo itaji then aniagizie ikifika nampatia hela hiyo na fedha ya usumbufu. kama uko tiar ni pm or nichek kwa no. 0769038065.
Natanguliza shukrani wakuu.