NAOMBA MSAADA WA KUJUA NIMEPATA MKOPO %NGAPI. Nisaidieni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NAOMBA MSAADA WA KUJUA NIMEPATA MKOPO %NGAPI. Nisaidieni

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by iriko, Sep 21, 2012.

 1. i

  iriko Member

  #1
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  ndugu zangu wanaJF, mm nimepata koz ye BSc in Petroleum Eng. At UDOM na nimepewa mkopo Tsh 3882500/=, na ADA YA KOZI NI 1200000 please ni sawa na %ngapi?
   
 2. c

  charm_chiddy Member

  #2
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka,milion 38?any way utakua umekosea.ada yako sh ngapi?
   
 3. r

  robert komba Member

  #3
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mmmh kwahyo nahisi ni zaidi ya mia
   
 4. A

  Apex JF-Expert Member

  #4
  Sep 21, 2012
  Joined: Jul 31, 2012
  Messages: 429
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Duu million 38? Aisee unatisha,mtaji huo bro jipange kuanzisha business center,
   
 5. s

  sasha sarah Member

  #5
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naomba nisaidie nina 2297500 ma cour ni lakinane so nina percntage ngapi;;;frm udom
   
 6. i

  iriko Member

  #6
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  ahsante sana kwa kujua kosa langu, ilikuwa ni typin error. Nimesharekebisha then go on
   
 7. Mbute na chai

  Mbute na chai JF-Expert Member

  #7
  Sep 21, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 332
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Unapotaka kujua asilimia sharti uoneshe degree programme unayochukua, ada na special faculty requirements if there are any.
   
 8. Mbute na chai

  Mbute na chai JF-Expert Member

  #8
  Sep 21, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 332
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Unapotaka kujua asilimia sharti uoneshe degree programme unayochukua, ada na special faculty requirements if there are.
   
 9. s

  sasha sarah Member

  #9
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ba in development studies
   
 10. j

  jackson george Member

  #10
  Sep 22, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 94
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  chalii yangu iyo ada yake n 1.5mil not 1.2 mil by thn una 85 prcnt
   
 11. i

  iriko Member

  #11
  Sep 23, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  thankx xsana bro. Be cul
   
 12. Thomas D Segeja

  Thomas D Segeja Member

  #12
  Sep 23, 2012
  Joined: Jul 31, 2012
  Messages: 95
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 25
  sorry guys ni vyema kwa anayefaham atujuze,kuna thread zingine wanasema hela ya field ni laki sita wengine sita na ishirini wengine tano ma sitini,hay hela ya books and material wengine wanasema laki mbili wengine laki mbili na sabini na tano,thats why tunashindwa kujua % zetu,kwa anaye fahamu atujuze tujipigie hesabu wenyewe itapunguza hizi thread zinazo jirudiaridia bila maana
   
 13. A

  Apex JF-Expert Member

  #13
  Sep 23, 2012
  Joined: Jul 31, 2012
  Messages: 429
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  jaman cost za vyuo zinatofautiana,ushauri tafuta total ya vitu kama accomodation,stationary,field,meals,fucult requrement nk then toa kwenye loan yako pesa itakayobaki ndo itafutie parcent kwenye fee yako,NOTE pgm nyngne hazina field so usijumulishe,PIA unaweza pewa 4million mm 2million lkn nikawa na parcent kubwa kulingana na 1st institution private or public,then pgm requrement,hvyo kila mmoja atafute % kulingana na makato ya chuo na pgm unayochukua.
   
 14. l

  lugano5 JF-Expert Member

  #14
  Sep 23, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 4,342
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 5
  ww dogo acha ukilaza engineer gani hujui hesabu simple kama hyo

  anyway,.....ni hivi
  chukua pesa ya accomodation ambayo ni 2180000 na pesa ya field ambayo ni 620000 then jumlisha kisha toa pesa uliyopewa , pesa utakayopata iweke chini ya ada mara 100% utapata asilimia yako.....ambayo ni 90.21%

  NB:nimewka hela ya field coz engineer 1st year wanaenda field
   
 15. B

  Benito Josh Member

  #15
  Sep 23, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 76
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  kaka samahan hivi b.com ina field kwa mwaka wa kwanza
   
 16. l

  lugano5 JF-Expert Member

  #16
  Sep 23, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 4,342
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 5
  kwa b.com sifahamu labda subiri waje wataalam wa b.com watakupa jibu
   
 17. C

  Cha-phile Member

  #17
  Sep 23, 2012
  Joined: Sep 20, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwanz meals & accomodation n kostant kwa vyuo vyote, na ni sh ngap?
   
 18. i

  iriko Member

  #18
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  thanks 4gud details, mm najua hesabu vizur sio kilaza tatizo sikuwa na uhakika na hizo data za accomodation+fields.
   
 19. M

  Mpendawali Member

  #19
  Sep 24, 2012
  Joined: Jul 29, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Achen kudanganyana!!Petroleum Engineering 1st year ha2na field!!!thn toa meals ambyo n 1837500 bla accomodation coz acc. 2nalpa direct..pili toa stationary ambyo n 200000...thn itakayo baki ndo ada yako na kama imezd toa 1.5m utapata kias ambacho n kwa ajil ya special facult!!!nmepata rport toka kwa bro wangu ana¨¨fanyia loan bord
   
 20. i

  iriko Member

  #20
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  helo Mpendawali, it sounds as if na ww unaendasoma Petroleum Eng. Kama itakuwa 2po wote plz naomba 2wasiliane. Halafu mm nilipocheki yale majina ya all s2dents 2liochaguliwa wenye hela nyingi ni 3,882,500 mm nikiwa mmoja wapo. It means ther is no one given 100%loan. Then hii koz yangu, cc ndiyo wa kwanza au?
   
Loading...