Naomba msaada wa kufika bungeni

Njoo mpaka hapa bungeni, kuna benki kadhaa nje ya mjengo. Hapa ndipo ninapofanyia kazi kwa sasa. Ukifika waulize askari "yule mlinzi mzee wa benki nitampata wapi?"
Hao askari watakuonesha. Baada ya hapo nitakulengesha kwa Mheshimiwa yeyote yule atakayekuja benki kufanya miamala ya fedha.
 
Gombea tu ubunge, umri wako unakuruhusu. Waliomo humo hakuna wanachokuzidi—labda kiwango cha uhalifu!
 
Bila shaka huyu ni chawa humu, kaja na id yake nyingine
Naunga mkono hoja miaka 21, joined 2019 ina maana alijiunga JF akiwa na miaka 15?, alafu huu uziumepangiliwa vizuri hivi hamna (xaxa), nukta zimekaa mahala pake.
Huyu anatuchora sio bure
 
Naunga mkono hoja miaka 21, joined 2019 ina maana alijiunga JF akiwa na miaka 15?, alafu huu uziumepangiliwa vizuri hivi hamna (xaxa), nukta zimekaa mahala pake.
Huyu anatuchora sio bure
Amna mkuu nimeanza kutumia JF nikiwa mdogo sana.
 
Wananchi wa kawaida wanaruhusiwa kutembelea Bungeni. Ingia kwenye tovuti Yao upate maelekezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…