Naomba Msaada wa kuapply chuo

Naomba Msaada wa kuapply chuo

enock yusto

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2014
Posts
377
Reaction score
342
nataka niende kuaply chuo cha diploma ila cjuh v2 gani vinahitajika wakat wa kuaply mfn vyet mi ni mhitimu wa kidato cha sita.mwenye ufahamu juu ya hili anisaidie jamani
 
Aaah nenda nacte kwenye site yao, Kuna guide book, uko utakuta guide book, Kuna muongozo mwanzo had mwisho, so just easy try, ila uwah mana deadline ni tarehe 5/8
 
Back
Top Bottom