Naweza kukusaidia kwa lugha ya Kirusi!
Nipe menu yako kwa Kiingereza,kisha nikuandikie kwa kirusi.
Maana nikikuandikia direct menu ya Kirusi kama nipo Urusi sina hakika kama vyakula vyote kwenye menu vinapatikana hapa Tz.
Kwani ww upo wapi mkuu?
Endapo utapenda,njoo na budget yako ya kazi hii!!