Naomba msaada wa ku-update Huawei ascend y300-b184

Naomba msaada wa ku-update Huawei ascend y300-b184

Jituxs88

New Member
Joined
Jul 6, 2014
Posts
2
Reaction score
0
Guys nimejaribu kila kona but nimeshindwa ku update hii simu na the biggest problem ni kupata update version ya HUAWEI ASCEND Y300 yenye build number Y300-0100V100R001C00B184 naamini humu kuna watu wenye more skills kwenye technology kuliko mimi,

so nikipata msaada itakua powaa snaa.
 
unataka ku-update kwanini je kuna tatizo kama hakuna basi huawei y300 hawana updates ni android version 4.1 mwisho zaidi ya hapo utabidi uweke custom rom
 
Back
Top Bottom