naona mpaka nilipie ndo nisaidiwe haya may be naharibu biashara za watu humu..... samahanini sana
Mbna walalamika hvyo kijana,.??Naona mpaka nilipie ndo nisaidiwe haya may be naharibu biashara za watu humu.
Samahanini sana.
Wadau naomba mnisaidie kugenerate unlocking codes 16 digits za hii modem ya ZTE. .
Model: 190A
IMEI: 862591014939198
EAN: 6934933041707
Nimetumia software nyingi lakini nimeshindwa sasa wakuu naomba mnisaidie.
Mbna walalamika hvyo kijana,.??