kama ulienda k/koo wale sio mafundi ni wahuni tuu... nilishawahi safiri kutoka mkoani nikapeleka simu kwa mafundi kama watano pale wakashindwa na cha ajabu kila unaempelekea anasafisha kwa mswaki na vimaji vya njano... mwisho wa siku nilikomaa nayo mwenyewe nikafanikiwa kuifufua. Cha kwanza ingina youtube utapata pa kuanziaSio mtaalam sana ila nilijaribu kwenda kwa mtaalamu akashindwa kuflash mkuu.
Upo wapi?Sio mtaalam sana ila nilijaribu kwenda kwa mtaalamu akashindwa kuflash mkuu.
Ngoja nipitie tutorials hizo mkuu nicheze nayo kama nikifanikisha/kukwama tena mrejesho nitauletakama ulienda k/koo wale sio mafundi ni wahuni tuu... nilishawahi safiri kutoka mkoani nikapeleka simu kwa mafundi kama watano pale wakashindwa na cha ajabu kila unaempelekea anasafisha kwa mswaki na vimaji vya njano... mwisho wa siku nilikomaa nayo mwenyewe nikafanikiwa kuifufua. Cha kwanza ingina youtube utapata pa kuanzia
aiseeachana na simu za wizi mkuu
Habari wakuu. Poleni na Majukumu.
Wakuu nimepata changamoto baada ya kununua simu Online (aliexpress).
Simu hii imegoma kusoma SIM CARDS za hapa Nyumbani Tanzania.
Nimeangalia ABOUT PHONE>STATUS>NETWORK > SERVICE STATE Lakini kwenye service state nimekuta notifification hii " OUT OF SERVICE"
Naomba msahada tafadhali wakuu.
Simu ni Samsung galaxy grand prime
Mkuu kwenye simu kuna kitu inaitwa frequency Hhz bad.
Mara nyingi watengeneza simu hutengeneza simu aina moja lakini kwa masoko ya sehemu tofauti
Nchi za afrika tuna common frequency zetu ambazo zinatofautiana sana na usa na uchina kama sikosei
Ili kujia zaidi tembelea link hapo chini kisha ingiza aina ya simu, model yake na no yake utapata majibu kama inakamata frequently za tanzania
Kama haina mhz band za bongo haitaweza kusoma kwamwe
WillMyPhoneWork.net - Check if your phone works on a network

Nina simu kama hiyo "Samsung grand prime" yenyewe inaandika no SIM card ukiweka line bado iko vile vile.Shukrani Mkuu ngoja niangalie kama ikishindikana seller yupo tayari nirudishe nimeshaongea nae.
Nina simu kama hiyo "Samsung grand prime" yenyewe inaandika no SIM card ukiweka line bado iko vile vile.
Wakati flani nili ipeleka kwa fundi nikamwambia simu ilikua inatumika nje, (kitu ambacho ni kweli) akasema haiwezi kusoma Tz. Akasema anaweza irekebisha tukapatana nikamlipa, akaniambia nirudi baadae niliporudi akasema imemshinda na pesa akarudisha
Kwa sasa naitumia kuplay music,, ukipata solution naomba nijulishe.
Sent using Jamii Forums mobile app

Hii natumia niki connect na Wi-Fi nafanya kazi zangu kama kawaida.