Naomba msaada wa kisheria

mwambadog

mwambadog

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Messages
1,745
Points
2,000
mwambadog

mwambadog

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2012
1,745 2,000
mim ni mhitimu wa chuo flani tanzania, nilikutana na mtu ambae najua anapoishi pia mke wake ni rafiki wa mama angu. Nikamuomba anisaidie kupata nafasi ya kusomea pilot kwa uzamin wa serikari, lakini ni muda umepita kila siku hunitumia sms pesa flani inaitajika natoa. Nimetunza sms za pesa nilizo tuma na sms alizo nijibu. Mpaka inafikia huku naona miezi inazidi katika wala hajawai niita wala kuonananae ana kwa ana. Yeye ni pilot japo sina uhakika na kazi yake. Je kisheria ninaushahidi tosha endapo akawa tapeli wa kumshitaki mahakamani?
 
jolly

jolly

Member
Joined
Dec 14, 2012
Messages
34
Points
0
jolly

jolly

Member
Joined Dec 14, 2012
34 0
Huo unaitwa wizi wa kuaminiwa,ila sasa kuwa makini utaliwa sn mwsho hyo shule ucpate.
 
RWEYONGEZA MUTTA

RWEYONGEZA MUTTA

Member
Joined
Oct 12, 2012
Messages
52
Points
0
RWEYONGEZA MUTTA

RWEYONGEZA MUTTA

Member
Joined Oct 12, 2012
52 0
Me sidhani kama huo utakuwa ushahidi utakaoweza kukubalika mahakamani kwasababu sheria yetu ya ushahidi sura namba 6 inafafanua kuwa electronic evidence (Isipokuwa nyaraka za benk zilizotoka katika chapisho la kompyuta tu) haipokelewi kama ushahidi mahakamani kwasababu itakutaka udhihirishe bila kuacha doubt yoyote kiti ambacho kimekuwa kigumu sana. Kuna kesi kibao ushahidi wa namna hii imetupiliwa mbali!!
Sasa kwakuwa hiyo transaction ni ya kibenki zaidi nashauri ukatoe chapisho litakaloonesha kuwa ulitima pesa kwa nani that is it! Kwasababu hiyo utaweza kuiwasilisha km documentafy evidence nakuonya usitegemee sms za simu hizo zitakuzingua!! Komaa!!
 
mwambadog

mwambadog

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Messages
1,745
Points
2,000
mwambadog

mwambadog

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2012
1,745 2,000
thanx very much you all
 
nameless girl

nameless girl

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Messages
3,963
Points
2,000
nameless girl

nameless girl

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2012
3,963 2,000
Me sidhani kama huo utakuwa ushahidi utakaoweza kukubalika mahakamani kwasababu sheria yetu ya ushahidi sura namba 6 inafafanua kuwa electronic evidence (Isipokuwa nyaraka za benk zilizotoka katika chapisho la kompyuta tu) haipokelewi kama ushahidi mahakamani kwasababu itakutaka udhihirishe bila kuacha doubt yoyote kiti ambacho kimekuwa kigumu sana. Kuna kesi kibao ushahidi wa namna hii imetupiliwa mbali!!
Sasa kwakuwa hiyo transaction ni ya kibenki zaidi nashauri ukatoe chapisho litakaloonesha kuwa ulitima pesa kwa nani that is it! Kwasababu hiyo utaweza kuiwasilisha km documentafy evidence nakuonya usitegemee sms za simu hizo zitakuzingua!! Komaa!!
Ni kweli unayosema lakini kuna mahala niliwahi kusoma kuwa electronic evidence pia inaweza kufall kwenye real evidence cz 4 exmple, the way ninavoandika kwenye hii computer ni mawazo yangu ambayo yanakuja direct, so its like l am talking to u right nw n nt documentary or electronic evidence. Hayo ni mawazo ya alieandika hayo.
for me nakusupport dogo kuwa unaweza kumshitaki huyo jamaa kwa kutumia documentary evidence bt still usikate tamaa cz u need to prov kwamba izo pesa jamaa alichukua endapo ulikuwa una toa benk na kumpa mkononi.
But mwisho napenda kukuhasa kuwa next tym usirudie icho ulichofanya, ahaminiki mtu hapa you a big enough to understand this things.
 
Forum statistics

Threads 1,283,762
Members 493,810
Posts 30,799,990
Top