B'REAL
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 4,279
- 2,733
Habari za asubui,
Wakuu wa jukwaa, naomba niwasilishe kwa ushauri au hatua zipi niweze kufata zidi ya hi campuni. Niliajiriwa kwenye campuni flani binafsi,mwaka 2018 mwezi wa kumi na moja, mwezi wa tano 2020 yanitokea matatizo nikasimamishwa kazi.hapo ndo tatizo langu linapo anzia.
Nimejaribu kufatilia mafao yangu NSSSF ila inaonekana kampuni haikuwai kuniwekea ili Hali ilikuwa inanikata kila mwezi, baada ya kuwasiliana na human resource wakaniwekea miezi mitano, kutoka mwezi wa kwanza Hadi wa tano,nimekuwa nikijaribu kufatilia kwa mienzi mitatu Sasa kuhusu kuniwekea pesa zangu, wanakuwa wananizungusha tu. Je, nifanyaje ili niweze kupata haki yangu? Je, kunachombo chochote naweza kufikisha malalamiko yangu kumshitaki muajiri?
Niatua gani nifate? Naitaji msaada wakuu.