souljah meditater
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 2,146
- 2,094
ok sawa ila nishapeleka kwa wataalamu kadhaa wananiambia huo ni msala wanasandaIpeleke kwa wataalamu mkuu aisee
Asante kwa ushauri mkuu ingawa nilishaijaribu hiyo njia ya kutoa CMOS betri na kusubiri dakika kadhaa nilipoiwasha bado ilidai HDD Password, labda nijaribu kuisubiria siku mbili bila kurudisha CMOS then nione. Ikikubali nitaleta mrejeshoMkuu zima laptop yako, chomoa betri, ifungue ndani kisha ondoa CMOS betri subiri dakika kadhaa, fanya kama unaiwasha bila betri ukiwa haujachomeka adapter yake. Kisha rudishia kila kitu washa. Ukifanikiwa lete mrejesho. Ikikulazimu isubirie siku mbili kabla haujarudisha cmos hii ni kuruhusu ifanyike discharge na upotevu wa memory vya kutosha.
Duuh wale wa data recovery au?ok sawa ila nishapeleka kwa wataalamu kadhaa wananiambia huo ni msala wanasanda
Ao wataalamu ulipeleka ni wale wanaojua kuformat window na kuinstall upya na wakajiita wataalamu. Wao kila tatizo la computer wanakimbilia kuformat.ok sawa ila nishapeleka kwa wataalamu kadhaa wananiambia huo ni msala wanasanda
Emu nitajie wataalam unaowajua wewe niwapelekeeAo wataalamu ulipeleka ni wale wanaojua kuformat window na kuinstall upya na wakajiita wataalamu. Wao kila tatizo la computer wanakimbilia kuformat.
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Ndyo maana nkakuulza upo wapi?Emu nitajie wataalam unaowajua wewe niwapelekee
Mkuu nipo dar kavp nipe ramani nikuletee unisaidieMkuu upo wapi nikusaidie.
Iyo inawezekana ila kama huna utahalamu wa IT hutaweza.
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Kwanza kwa nn uhitaji kutoa hdd passwaord kama pc ni yako mkuu? Tuanzie hapo kisha nikusaidie hilo tatizo lakoHabari wakuu, nina tatizo la HDD Password kwenye Laptop ya Samsung Notebook nimejaribu kuiondoa kwa kila njia niijuayo imeshindikana na mbaya zaidi nikaamua hadi kubadilisha window lakini tatizo limebaki palepale. Naomba mwenye utaalamu au ushauri wa kuitoa hii HDD Password kwenye compuer anisaidie.
Asante kwa ushauri mkuu ingawa nilishaijaribu hiyo njia ya kutoa CMOS betri na kusubiri dakika kadhaa nilipoiwasha bado ilidai HDD Password, labda nijaribu kuisubiria siku mbili bila kurudisha CMOS then nione. Ikikubali nitaleta mrejesho
download CMOSPWD, extract folder kwenda kwa C drive au drive yenye OS yako.Mkuu nipo dar kavp nipe ramani nikuletee unisaidie
Kama umeiba basi mrudishie mwenye nayo
Kuna hii tool inaitwa "Ultimate boot CD" ndyo inafanya ayo mambo. Sasa kukuelekeza sijajua level yako ya uelewa wa mambo ya IT. Kunavitu unabidi uwe unajua kama kuburn bootable cd, kuboot CD etc.download CMOSPWD, extract folder kwenda kwa C drive au drive yenye OS yako.
nenda kwenye window applications and search "cmd"
Type “cmd” and press enter.
Now type
“cd c\cmospwd-5.0\windows\” (C ni drive yenye OS yako) and press enter.
Next type “ioperm -i” and press enter
After that type, “cmospwd_win /k” and press enter.
Itakuletea screen yenye numbers “1” “2” and “0”
Wewe Type “2” and press enter…
Jaribu ivyo. Ukikwama nitafte.
UPDATE.
SORY NILJUA UNATOA PASSWORD YA CMOS. KUMBE HDD. NGOJA NKUTUMIE YA HDD.
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Nahitaji kuitoa kwa sababu inakuwa na mlolongo mrefu napoiwasha pindi nikitaka kuitumia, pc ni yangu kama una ushauri toa acha maswali ya kbashiteKwanza kwa nn uhitaji kutoa hdd passwaord kama pc ni yako mkuu? Tuanzie hapo kisha nikusaidie hilo tatizo lako
Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app