Bongo hamjafikia kiwango cha technology cha ku Utilize 100% ya matumizi ya iphone na hilo ndo tatizo linalowasumbuaga wengi na simu zenu hizo!Kwanini Ulaya na Marekani ziwe nzuri halafu huko zisiwe?
Nan huyo alikuhongaNina 7+ huniambii kitu kwa iPhone
Iphone mnazishobokeaga tu lakini sio simu makini kwa hii bongo. Bota utafute android kali uta enjoy.
Hizo tuwaachie Marekani na Ulaya tu.
Bongo kila kitu ni ushabiki wa mkumbo. Nashangaa sana mpaka kwenye simu unakuta watu wanabishana ''mimi ni timu android'' sijui ''mimi ni timu iphone!''. Na sababu kubwa ni elimu duni na ulimbukeni. Watu bado anatumia simu kama kifaa cha kuonyesha ufahari na uwezo! Mimi siko kwenye hilo fungu unalojaribu kuniweka!Bongo hamjafikia kiwango cha technology cha ku Utilize 100% ya matumizi ya iphone na hilo ndo tatizo linalowasumbuaga wengi na simu zenu hizo!
Kwa matumizi wengi ni snapchat na mitandao mingine ya kijamii, kikubwa zaidi ni show off tu hamna lolote la maana kwenye hizo iphone ziko complicated bila sababu (The American way)! Hujiulizi kwanini corporates na organisation nyingi kwa nini wanatumia androids katika productivity mfano CRDB kwani hawazioni iphone?
Wakora!!Nina 7+ huniambii kitu kwa iPhone
Software update yoyote ya iphone inabid utumie WI-Fi
Bado ujajua umuhimu wa simu za IPhonesiwezi.kuwa sim ambayo inataka vitu vya garama
MpyaMang'anyu ndio nini?
Aisee basi naimani utakuwa ni mtu makini mkuu, maana mtu unaweza muuliza kwanini ununue iphone ambayo iko bei juu sana over other brands wakati unachopata ni kilekile! Atachokujibu ni kuwa ni simu kali tu mzee heshima yani! Nothing else, wabongo tuna shida kubwa mno hasa katika kufanya logical decisions hata katika mambo madogo tu, reasoning capacity wengi iko chini!Bongo kila kitu ni ushabiki wa mkumbo. Nashangaa sana mpaka kwenye simu unakuta watu wanabishana ''mimi ni timu android'' sijui ''mimi ni timu iphone!''. Na sababu kubwa ni elimu duni na ulimbukeni. Watu bado anatumia simu kama kifaa cha kuonyesha ufahari na uwezo! Mimi siko kwenye hilo fungu unalojaribu kuniweka!
Me au Ke?Ndio wangu
Mnaishiaga kusema hivi hivi... hamuelezi kiundani kabisaBado ujajua umuhimu wa simu za IPhone
Ukishaijua utakuja kutoa ushuhuda
Jaribu kutumia Wi-Fi lakini hakikisha mji, saa, tarehe na mwaka viko sahihi, mji unaweza kutumia Nairobi kama Dar haipo. Pia apps. update uiruhusu kwenye settings.
Siyo lazima kama ana GB za kutosha
Ata uwe nazo 100
ios za skuiz lazima iwe wifi
Nime update without WIFI
Mara ya kwanza iligoma nikaongeza bundle ikakubali
Betri masaa 12 bila kuchaji hapo unatumia internet na kupiga/kupokea simu mfululizoMimi naziitaga "SIMU JELA"….....
Najua iPhone users na wenye homa nazo watakuja hapa “ooh we team Tecno" ila fresh tu as long as sizitumii hizo tecno wala hainiumizi akili ila ukweli ndo huu wengi wenye hizo simu zaidi ya kuringia kale ka-logo hakuna kingine wanachofurahi nacho.
Nina 7+ huniambii kitu kwa iPhone