Naomba msaada wa haraka penzi la buzi linanizuzua

Jamani hebu tujaribu kukumbuka kuwa hata mwanaume naye akitoa nje ya ndoa analeta magonjwa na cio mwanamke tu mana wengine wameshupalia tu wanawake ndio wanaweza leta!

Back to the main topic we endelea tu kula raha mamito ucije kuta naye mzee wako kuna kabinti kanampeleka puta mbaya ila nawe cku nyingine ucipige kavu na kwa mzee uache kumpiga kipepsi uwe unampampa hata kwa wiki mara moja
 
Msianze mara ooh ni dhambi, ni makosa, najua na imeshatokea, nachotaka ushauri wa nini cha kufanya.

Mie nimeolewa na nina watoto 3, maisha yangu na mume alhamndulilah yanasonga kama kawaida na afya ya ndoa yetu si mbaya, huu ni mwaka wa 9 wa ndoa yetu.

Januari nilenda mahali kikazi, na kupokelewa na kijana, si mzuri wa sura na kikazi namzidi rank mbali tu, japo kutokana na nilichotakiwa kufanya ilibidi niwe nae kwa ukaribu.
Nilikaa kwa wiki moja.

Ebwana, sijui imekuwaje hadi ilipofika March tulisha-du na mie nshapata na ujauzito wake na kutoa.

Kinachonisumbua ni jinsi ninavyojisikia kwa mume wangu, naona kama ananibaka, sitaki aniguse, nakuwa mkali 24/7 kwake, nahisi kama namcheat kibuzi wangu mpendwa.

Ila sasa kinachonipasua kichwa zaidi kibuzi ana mke na ameanza kujisikia hivi kama kaniweka mkononi.

Naona napoteza ndoa yangu nikiwa najiona, nimeshajaribu kumuacha mara mbili najikuta nampigia kumwambia hapana, sijawa tayari kumwacha.

Nisaidieni . . .
Wale wasafi wa matendo wanaotokaga povu, kemeeni kimya kimya, hapa nataka mawazo ya kunusuru ndoa(Rehab ya Ndoa)

kama uliwahi kusoma thread yangu ya SEHEMU KUU 3 ZA MAISHA YA NDOA hapo utagundua kwamba upo ktk sehemu ya pili (kichinachina)
 
Ndege mjanja nimenaswa na tundu bovu.

Na kiukweli, huyu buzi hamfikii mme wangu kwa status wala pesa, ila sasa ana ujentroman unaoniacha hoi, afu na ile shughuli mie hoi.

Kweli waume zetu wanatupunja sana, ndo mama mzima naumbuka kwa penzi la kibuzi kichovu tu.

Kweli hujafa hujaumbika...yaani ukishaanza hatua moja huko nje, unaweza ukashitukia umeshapiga kumi bila kutarajia. But that is life...you cant just do with a person you dont feel...ina maana lazima kuna "hot buttons" huyo junior ameikamata. na inawezekana akaendelea kuitumia vyema
 
Jamani hebu tujaribu kukumbuka kuwa hata mwanaume naye akitoa nje ya ndoa analeta magonjwa na cio mwanamke tu mana wengine wameshupalia tu wanawake ndio wanaweza leta!

Back to the main topic we endelea tu kula raha mamito ucije kuta naye mzee wako kuna kabinti kanampeleka puta mbaya ila nawe cku nyingine ucipige kavu na kwa mzee uache kumpiga kipepsi uwe unampampa hata kwa wiki mara moja
Mhhh! Mbona kazi ipo
 
Baaaabaa, unapowazulu wengine na sie Wamaume utukumbuke, usituficheeeee, Yeeesu, wake zetu wanapotufanyia unyama utukumbuke, Yeeesu twaomba, utukumbuke.
Mnatoa hadi Mimba,...Mungu atatulipia wanaume
 
Hii thread imeprove kwa mara nyingine kuwa sisi wanaume tuko very weak!!!

Hivi ni wangapi wanaweza kusimama wakahesabiwe usafi wao? Kwa vile sterling hapa ni mwanamke basi ulaini wa vifua vya wanaume leo umeachwa uchi!!

Babu DC!!
 
Dark City, umeona babu DC wanawake wanavyohukumiwa?

But, hii story ni ya kweli, huu ushauri nauprint.

Hii thread imeprove kwa mara nyingine kwa sisi wanaume toko very weak!!!

Hivi ni wangapi wanaweza kusimama wakahesabiwe usafi wao? Kwa vile sterling hapa ni mwanamke basi ulaini wa vifua vya wanaume leo umeacha uchi!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Msianze mara ooh ni dhambi, ni makosa, najua na imeshatokea, nachotaka ushauri wa nini cha kufanya.

Mie nimeolewa na nina watoto 3, maisha yangu na mume alhamndulilah yanasonga kama kawaida na afya ya ndoa yetu si mbaya, huu ni mwaka wa 9 wa ndoa yetu.

Januari nilenda mahali kikazi, na kupokelewa na kijana, si mzuri wa sura na kikazi namzidi rank mbali tu, japo kutokana na nilichotakiwa kufanya ilibidi niwe nae kwa ukaribu.
Nilikaa kwa wiki moja.

Ebwana, sijui imekuwaje hadi ilipofika March tulisha-du na mie nshapata na ujauzito wake na kutoa.

Kinachonisumbua ni jinsi ninavyojisikia kwa mume wangu, naona kama ananibaka, sitaki aniguse, nakuwa mkali 24/7 kwake, nahisi kama namcheat kibuzi wangu mpendwa.

Ila sasa kinachonipasua kichwa zaidi kibuzi ana mke na ameanza kujisikia hivi kama kaniweka mkononi.

Naona napoteza ndoa yangu nikiwa najiona, nimeshajaribu kumuacha mara mbili najikuta nampigia kumwambia hapana, sijawa tayari kumwacha.

Nisaidieni . . .
Wale wasafi wa matendo wanaotokaga povu, kemeeni kimya kimya, hapa nataka mawazo ya kunusuru ndoa(Rehab ya Ndoa)

Mwanawane hiyo ndio maximum utamu, Wakamulie wote sawa usimbanie mumeo au ongeza mwingine ili uwe na full dozi tatu wiki mara mbili siku moja service
Baada ya mwezi hal itakuwa normal na utendelea na mme bila matatizo na penzi litakwa motomoto
vingenevyo ni PM nikup maelez mengine ya hii dozi
 
Dark City, umeona babu DC wanawake wanavyohukumiwa?

But, hii story ni ya kweli, huu ushauri nauprint.

Kongosho,

Iwe ni story ya kweli au ya kisanii, ni moja ya matukio ambayo huonesha jinsi wanaume walivyo wabinafsi na weak sana katika kuhandle mambo ya infi. Ingekuwa ni mwanamume hapa, tungekuwa tunampongeza kwa kuwashughulikia wanawake bila kujali kwamba ana ndoa au la.

Ila kwa vile mwanamke ndiye katoka nje ya ndoa, amini usiamini karibia kila mwanamume anayesoma hadithi hii atakuwa anapandwa na hasira sana......!!!

Heri yetu tulioishi enzi zile kabla wanawake hawajaamka...hawa vijana wa sasa, wasipokuwa makini watazidi kupoteza uanaume wao kwa hofu na mashaka ya kupigwa bao katika kila kitu (uchumi, umaarufu na mwisho wa yote kwenye mambo ya u-house)!!

Kazi mnayo,

Babu DC!!
 
Story iwe ya kweli au la lakini ni mambo yanayotokea kila siku hata dahari ukisoma vitabu vya DINI mke wa Mfalme alimpenda DAUD na akamwambia asipotembea nae atapiga mayowe kabakwa na kweli Mwanamume yule alikataa na mwanamke akararua nguo zake huku akipiga mayowe kuwa kabakwa hapo endelea kutafuta uzi huo vitabuni

Moyo wa kupenda ni kila kiumbe acheni Kongosho azamie huwezi jua kakutana na nini km katerero na mumewe wa ndoa hawezi kwa nini ang'anganie staili moja tu?
 
Ndege mjanja nimenaswa na tundu bovu.

Na kiukweli, huyu buzi hamfikii mme wangu kwa status wala pesa, ila sasa ana ujentroman unaoniacha hoi, afu na ile shughuli mie hoi.

Kweli waume zetu wanatupunja sana, ndo mama mzima naumbuka kwa penzi la kibuzi kichovu tu.

Kweli umekolea mtoto wa kike yote hayo yanakutoka wewe...
Kwa maelezo hayo hapo juu ni maombi tu ndio yatakunasua lakini ushauri waapi, roho iradhi lakini mwili ni dhaifu..pole Kongosho
 
Msianze mara ooh ni dhambi, ni makosa, najua na imeshatokea, nachotaka ushauri wa nini cha kufanya.

Mie nimeolewa na nina watoto 3, maisha yangu na mume alhamndulilah yanasonga kama kawaida na afya ya ndoa yetu si mbaya, huu ni mwaka wa 9 wa ndoa yetu.

Januari nilenda mahali kikazi, na kupokelewa na kijana, si mzuri wa sura na kikazi namzidi rank mbali tu, japo kutokana na nilichotakiwa kufanya ilibidi niwe nae kwa ukaribu.
Nilikaa kwa wiki moja.

Ebwana, sijui imekuwaje hadi ilipofika March tulisha-du na mie nshapata na ujauzito wake na kutoa.

Kinachonisumbua ni jinsi ninavyojisikia kwa mume wangu, naona kama ananibaka, sitaki aniguse, nakuwa mkali 24/7 kwake, nahisi kama namcheat kibuzi wangu mpendwa.

Ila sasa kinachonipasua kichwa zaidi kibuzi ana mke na ameanza kujisikia hivi kama kaniweka mkononi.

Naona napoteza ndoa yangu nikiwa najiona, nimeshajaribu kumuacha mara mbili najikuta nampigia kumwambia hapana, sijawa tayari kumwacha.

Nisaidieni . . .
Wale wasafi wa matendo wanaotokaga povu, kemeeni kimya kimya, hapa nataka mawazo ya kunusuru ndoa(Rehab ya Ndoa)

Kongosho,
I hope this is not a fabricated story...ila najaribu kujiuliza tu kumbe ni kweli ndege mjanja anaweza naswa na tundu bovu! Huyo jamaa kwa kuwa hajalazimisha na umemkubali mpaka akatikisa kabisaa nyavu basi si kitu cha kukejeri. Ila kuamua kusema ni step kubwa...na kwa kweli kazi mnayo maana labda na jamaa naye kakolea. Mhhh,sijui! watoto wako watasemaje vile in case turning back become impossible....
 
Hii thread imeprove kwa mara nyingine kuwa sisi wanaume tuko very weak!!!

Hivi ni wangapi wanaweza kusimama wakahesabiwe usafi wao? Kwa vile sterling hapa ni mwanamke basi ulaini wa vifua vya wanaume leo umeachwa uchi!!

Babu DC!!

Babu hili suala la mahusiano ni gumu sana hasa leo ambapo wanawake nao wanaweza kukimbizana na shillingi kama wanaume. Nakubaliana na ukweli kuwa mke wangu ni wangu akiwa ndani nyumbani...huko kwingine wala sitaki kujipa presha nini kinaendelea.
 
siwezi kimbia babu

nikikimbia jei efu na mtaani ntakimbiaje?

Ngoja niendelee kutafakati ili niendelee kula nae sahani moja.

Yaani unavyoongea tu inaonyesha jamaa amekaa pale ambapo ukiguswa unalegea jumla jumla...kumkimbia hapo ujitahidi laasivyo hiyo ndiyo couple ya kufa na kupona. Ndo hayo unalala na mtu huyu unacheka na mtu yule with the whole intimancy.
 
Back
Top Bottom