Naomba msaada wa error kwenye pc

Ngoja kesho nikatafute Fast charger nisipoona mabadiliko basic nitajua nitatizo la betri la simu
Hata hizo fast charger zinatofautiana inabidi iwe ni ya samsung inayoutumia soc yako, zipo za exynos na snapdragon.

Ni tatizo gani la betri?
 
Habarii mkuu nataka kuchukua laptop yenye Cpu hii je itanifaa kwa Shughuli za kishule??? Speed na uwezo wake
View attachment 1028354

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Hard Disk yake ina ukubwa gani mkuu? Cheki pia specs za graphics card yake (ni muhimu kama at some point utahitaji kuinstall pc games kama fifa, pes etc). Cheki pia capacity ya hard disk yake (nahisi itakua 500 Gb au 1tb). Na je hiyo pc ni mpya au used? Ila kwa hizo specs nlizoona hapo + kama ina video card nzuri, na kama hiyo pc ni mpya basi hiyo bei ni reasonable sana

the Legend☆
 

HDD 5000
Invidia card
Used
Sio mpenzi wa gemu. Muvi tuu


Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Hata hizo fast charger zinatofautiana inabidi iwe ni ya samsung inayoutumia soc yako, zipo za exynos na snapdragon.

Ni tatizo gani la betri?
Mkuu Betri yangu ilikuwa vizuri mno sana haikuwa na shida kabisa ............ Tatizo lilianza nilipotumia Charger tofauti nilikuwa natmia hapo awali Nikichaji inafikia 70% inasimama Muda mwingine ikijaa 100% zinaisha kiajabuajabu tu.
Mkuu natmia Samsung Galaxy s7 edge nitafute chaji ya Aina ipi
 
HDD 5000
Invidia card
Used
Sio mpenzi wa gemu. Muvi tuu


Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Nvidia iko vizuri, huwa naielewa sana. Mkuu hiyo mashine imesimama, ila kwa used 480k parefu

the Legend☆
 
Mkuu kuna hii ni Lenovo IP 130
Ina AMD Dual core
4GB Ram 500HDD
Tsh 559000
Warranty 1yr 32GB flash drive bure
Je itafaa au nayo ninapigwa mkuu

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Hiyo achana nayo mkuu

the Legend☆
 
Kwa sasa hapana mkuu, nlikua na mawasiliano nao miaka kadhaa nyuma wakati napiga hizo mishe

the Legend☆
Niulizie hata kwa rafiki zako mm siko dar.. hafu nyingi ziko dar

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Leo nimewasha pc yangu inanipa maelezo "Intel anti-theft system detected" nimeambatanisha na picha hapo chini naomba msaada kama anayejua user password au jinsi ya kutatua hili tatizo
Mkuu ulishafanikiwa kusolve hii kitu?

the Legend☆
 
Adui mkubwa wa battery ni joto mkuu, hio chaja haifanyi simu ipate joto sana unapoichaji?

Kama utapata chaja ya s7 edge yenyewe ni bora zaidi. Cheki online kwa watu wanaochomoa kwenye maboxi.
 
Adui mkubwa wa battery ni joto mkuu, hio chaja haifanyi simu ipate joto sana unapoichaji?

Kama utapata chaja ya s7 edge yenyewe ni bora zaidi. Cheki online kwa watu wanaochomoa kwenye maboxi.
Mkuu mara nyingi joto huwa linatokea pale ninapotumia data ......Kwa juu ya kioo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…