Habarii mkuu nataka kuchukua laptop yenye Cpu hii je itanifaa kwa Shughuli za kishule??? Speed na uwezo wakena intel ant theft ipo ndani ya cpu kama sijakosea hivyo kubadili cpu pengine kukakuhusu.
Hii ni i3 1st gen, inafaa kibishi kibishi ila sio nzuri kivile.Habarii mkuu nataka kuchukua laptop yenye Cpu hii je itanifaa kwa Shughuli za kishule??? Speed na uwezo wake
View attachment 1028354
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Bado sijainunua.. inauzwa 480kHii ni i3 1st gen, inafaa kibishi kibishi ila sio nzuri kivile.
Bado hujainunua? Ni kiasi gani?
Chief.............. Natumia Fake charger kuchaji simu ya Samsung Galaxy s7 edge inaweza kuleta madhara kwenye BettiHii ni i3 1st gen, inafaa kibishi kibishi ila sio nzuri kivile.
Bado hujainunua? Ni kiasi gani?
Unapigwa hapo mkuu achana nayoBado sijainunua.. inauzwa 480k
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Duo core unamaanisha core 2 duo? Nayo pia haifai unaongelea pc ya miaka 10 iliopita ama zaidi.Pia kuna hii
View attachment 1028397
Ni Duo core inauzwa 520k vipi nayo inafaa
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Hahaaaaa mkuu na hela zenyeewe hizi za kuomba omba daah..Unapigwa hapo mkuu achana nayo
Umejuaje kama ni fake? Fake charger si nzuri kutumia.Chief.............. Natumia Fake charger kuchaji simu ya Samsung Galaxy s7 edge inaweza kuleta madhara kwenye Betti
Mkuu kuna hii ni Lenovo IP 130Duo core unamaanisha core 2 duo? Nayo pia haifai unaongelea pc ya miaka 10 iliopita ama zaidi.
Mkuu Kuna utofauti ambao nauona kwenye upande wa chaji ambao mwanzo haukuwepo nilipokuwa natumia Original chargerUmejuaje kama ni fake? Fake charger si nzuri kutumia.
Simaanishi hela mkuu, hela hio hio ila unapata iliyo bora zaidi, gen angalau 4 kupanda juu.Hahaaaaa mkuu na hela zenyeewe hizi za kuomba omba daah..
Niasaidie mkuu niipatate yoyote..Please
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Sipo dar and nahitaji mno mkuu..Simaanishi hela mkuu, hela hio hio ila unapata iliyo bora zaidi, gen angalau 4 kupanda juu.
Kariakoo sasa hivi gen ya 4 ni around 400k mpaka 500k
Original charger ni fast charging unaweza ukatumia chaja nyengine ikachaji taratibu lakini haimaanishi hio chaja ni feki,Mkuu Kuna utofauti ambao nauona kwenye upande wa chaji ambao mwanzo haukuwepo nilipokuwa natumia Original charger
Amd gani? Kama sio hizi mpya pia achana nayo.Mkuu kuna hii ni Lenovo IP 130
Ina AMD Dual core
4GB Ram 500HDD
Tsh 559000
Warranty 1yr 32GB flash drive bure
Je itafaa au nayo ninapigwa mkuu
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Ni tangazo nililiona kwenye ifisi zao. Kwamba ni amd dual core..Amd gani? Kama sio hizi mpya pia achana nayo.
Ngoja kesho nikatafute Fast charger nisipoona mabadiliko basic nitajua nitatizo la betri la simuOriginal charger ni fast charging unaweza ukatumia chaja nyengine ikachaji taratibu lakini haimaanishi hio chaja ni feki,
Zipo chaja tofauti tofauti.