baraka muyabi
Senior Member
- Aug 13, 2012
- 162
- 58
Habari wana jamvi wenzangu.
CD yangu ya printer imepotea na nimebadili operating system kutoka windows seven kwenda windows 8, naomba mwenye Driver ya printer hp laser jet 1300 anisaidie.
Asante