Nilikuwa naomba msaada kama mtu yoyote anafahamu licence adoption agency in Dar Es Salaam, TZ. Pls kuna mtoto nataka kumchukua, naomba msaada wenu.
Vipi uliwahi kufanikisha? unaweza kunipa details nianzie wapi. Kama unajua gharama zake naomba unijulishe. Thanks.
Kama hupo USA, detail nyingi zinapatika katika website ya state department. Matatizo yanayokuja ni kuwa Tanzania sio signatory wa Hague Adoption Convention . Hivyo kama unaishi USA inakuwia vigumu kidogo kwa sababu wamarekani wanatumia vigezo vya Tanzania.
Tanzania inafanya adoption kwa watoto yatima. Na kama sio raia wa Tanzania ni lazima uwe umeishi Tanzania na complications zingine. Hivyo tafuta lawyer anayeweza kukusaidia ku-clear mambo ya Tanzania.
Takwimu za state department zinaonyesha kuwa chini ya watoto kumi kutoka Tanzania wanakuwa adopted na kuja USA. Hii namba inaonyesha ugumu fulani. Na process inaweza kuchukua mwaka. Hivyo jiandae na eventualities.
http://adoption.state.gov/adoption.homepage.html
Thanks for info and the link. Nimeangalia sheria za resident za TZ, miezi 12 naona itakuwa ngumu kwangu; kwa sababu sasa hivi nina uraia wa US, halafu muda wote nipo USA. Kisheria bado ninao uraia wa TZ. Kuna tatizo naona, kama nikijiandikisha kama raia wa TZ; USA wanaweza wakaniambia nimeukana uraia wao, complicated issue. Bongo kila kitu ni kigumu. Someone has to change this unnecessary law. Thanks.
Nilikuwa naomba msaada kama mtu yoyote anafahamu licence adoption agency in Dar Es Salaam, TZ. Pls kuna mtoto nataka kumchukua, naomba msaada wenu.