Naomba msaada - "Unable to install the remaining part....."

Naomba msaada - "Unable to install the remaining part....."

Kimbori

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
6,587
Reaction score
5,326
Kila ninapowasha simu (Nokia E61i) inaonyesha kuna installation inaendelea "Installing....". Baada ya kama dakika moja naletewa ujumbe "Unable to install the remaing part from memory card, to install the emaing part go to App. Manager"
nimekwenda App. Manager nakuta kuna App. moja, 20000480.sis, Not Installed, kila angalau kujaribu ku-install naambiwa "File corrupted". Hii app. siijui (nahisi ni kirusi) pia hakuna pendekezo la kuiondoa (remove).
Nimetumia mbinu kadhaa ikiwamo kuzima na kuwasha simu, soft formating, hard formatting, na ku-instakll upya Operating System, ila sijapata mafanikio yoyote.
Hivyo, naomba msaada wako wa kuindoa hiyo app. Siku njema, amani iwe kwako.
 
mkuu tatizo hilo linatokana na kueka memory card kwenye simu ambayo siyo s60v3

mfano umeeka kwenye nokia nyengine s60v5 au nokia belle then ukainstall application kule then ukaitoa ukairudisha kwenye s60v3 basi simu yako inadetect ile app na kwakua ilishakua installed inaforce kuieka kwenye s60v3 yako ndo hapo ina install wee mwisho inagoma.

Mkuu fanya backup ya media kama video, picha na sauti na fanya backup ya vitu vya text kama message na notes.

Usifanye backup ya apps then format simu yako pamoja na memory card tatizo litaisha.

Alternative kama unaijua hio apps connect simu na pc then hakikisha windows yako inaonesha hidden files nenda kwenye app data kadelete data zake zote
 
Ahsnante sana Chief Mkwawa kwa mchango wako! Nitafanya hivyo baadaye jioni. Siku njema.
Kwa nilivyokuelewa, nitaondoa apps zote kabisa (kutokana na backup au kufuta data), kisha nita-download na kuinstall upya. Yaani sipaswi kuacha app yoyote ile kwenye simu, hata iwe ya umuhimu gani.
 
yani kuformat ni kwamba hakitabaki kitu. Na sidhan kama kuna soft inayokubali kufanya backup ya apps moja moja
 
Back
Top Bottom